Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Team Magufuli wametupwa nje ya mfumo mazima! Papara, munkari, hisia, chuki, hasira, pupa plus jazba viliwaponza kwenye huu mtanange wa kugombea ugali wa kampuni!

Uliona Bibi na Born Town walivyokumbatiana jana?? Ile speech ya Rais wa Zambia ilinikumbusha mbali sana! What a speech!
Sawa.
 
....................................................................

"We are officially cooked"

....................................................................
Hii Kauli inachanganya tunaaanza kupikwa na MABEBERU au tunapikwa na Msoga Gang ?
 
Back
Top Bottom