enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 2,431
- 9,379
Unamaanisha nini bibie??? Kwamba kusubiri mama kujitoa ni kuota ndoto za mchana???Msisubiri basi airport
Unamaanisha nini bibie??? Kwamba kusubiri mama kujitoa ni kuota ndoto za mchana???Msisubiri basi airport
Linaweza kuja ama kuleta abiria ama kupokea.Msisubiri basi airport👍
Hapa nimegundua watu tunaongea Kwa context Kona 2 tofauti 😊😁Mitego yote ni kama kumpiga chura teke 🤣🤣🤣
Tunashukuru Mungu Hana upande ila anaenda na majira na nyakati zake, SS kujua hizi ni nyakati Gani, majira Gani kwenye nchi ni issue nyingine.,..Hahahahaha kuna kitu nimegundua
yoga yuko upande wa Mitano tena
Halafu hawa akina britanicca hawa ndio wako tofauti na mitano tena
Ni mchezo wa kwenye coridor huu
Tayana-wog 🌹Hapa nimegundua watu tunaongea Kwa context Kona 2 tofauti 😊😁
Kuna ambao ndo wako huko ndani wanaongea yajayo kulingana na Hali huko ndani kwao Ilivyo sijui ndo wa system.....
Halafu Kuna wale ambao tunachangia kutokana na majira na nyakati ya Mungu kwenye nchi yanataka nn!(Spiritual)
Nyakati hizi hazihitaji mtu wa aina ya "Vashti" yanajitaji mtu km "Esta"...
Ukisoma biblia kitabu Cha Esta Kwa mfano huu,utanielewa
Hapa ndo tofauti ilipo!
😂😂 kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! 😂😂😂Tupe yanayoendelea basi tajiri?
Mitano ipi jamani tena 😂😂😂Hahahahaha kuna kitu nimegundua
yoga yuko upande wa Mitano tena
Halafu hawa akina britanicca hawa ndio wako tofauti na mitano tena
Ni mchezo wa kwenye coridor huu
Mitano ya kijani.Mitano ipi jamani tena 😂😂😂
Mbona kama na wewe umeshapata huo mlo kamili,maana😂😂 kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! 😂😂😂
Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.
washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikie😀
Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!
Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!
Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!
Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!! 😂
Tukutane December!!!
Kiti cha kijani na mti wake kijaniMitano ya kijani.
Ni Kweli hayo wameyapanga wao na wamejipanga, ila sisi tunapangua pia🤣🤣Kwa dola ya juu kabisa😂😂 kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! 😂😂😂
Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.
washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikie😀
Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!
Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!
Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!
Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!! 😂
Tukutane December!!!
Walau umenipa moyo mtumishiTunashukuru Mungu Hana upande ila anaenda na majira na nyakati zake, SS kujua hizi ni nyakati Gani, majira Gani kwenye nchi ni issue nyingine.,..
Hawa wako huko wanaongea kutokana na wanayoyaona huko....
Sisi hatuendi Kwa kuona.....asikiae na afahamu 🤣🤣🤣
Sina mwanasheria
Team msoga huyo kama si Sasha basi ni mtu wa karibu na SashaHahahahaha kuna kitu nimegundua
yoga yuko upande wa Mitano tena
Halafu hawa akina britanicca hawa ndio wako tofauti na mitano tena
Ni mchezo wa kwenye coridor huu
Mwenyewe nilichelewa sana kugundua hili lakini Leo ameamua kujiweka waziHahahahaha kuna kitu nimegundua
yoga yuko upande wa Mitano tena
Halafu hawa akina britanicca hawa ndio wako tofauti na mitano tena
Ni mchezo wa kwenye coridor huu
Hahahaha,kwema lkn?Mitano ipi jamani tena 😂😂😂
Tumtangulize MUNGU,Mimi Kwa kusoma majira na nyakati naona kabisa hatoboi na akilazimisha hatoboi mifiveHapa nimegundua watu tunaongea Kwa context Kona 2 tofauti 😊😁
Kuna ambao ndo wako huko ndani wanaongea yajayo kulingana na Hali huko ndani kwao Ilivyo sijui ndo wa system.....
Halafu Kuna wale ambao tunachangia kutokana na majira na nyakati ya Mungu kwenye nchi yanataka nn!(Spiritual)
Nyakati hizi hazihitaji mtu wa aina ya "Vashti" yanajitaji mtu km "Esta"...
Ukisoma biblia kitabu Cha Esta Kwa mfano huu,utanielewa
Hapa ndo tofauti ilipo!
Binafsi nimefunga mjadala nasubiri hiyo december😂😂 kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! 😂😂😂