Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,886
- 14,543
Yaweke hayo mambo mkuu.Sio kweli mkuu mambo yote aliyo tabiri yametimia kwa 80%
Zaidi ya kukupatia taarifa ya mambo kizimkazi anaenda kufanya hakuna jingine la maana.
Huyu anatumika kutupatia mipango yao kimkakati....