woodpecker24
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 202
- 292
....
Yeye kwa nini asikatae kuendelea?Poleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni
Kwenye hiki kiwanda bwana YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,
maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!
Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,
Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,
Poleni Jamii ya kiwandani
Bwana YEYE----> MpangoPoleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni
Kwenye hiki kiwanda bwana YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,
maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!
Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,
Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,
Poleni Jamii ya kiwandani
Hayupo kwenye uchaguzi. Yeye ni huyo mamaBwana YEYE----> Mpango
"Kwenye hiki kiwanda bwana YEYE aliamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza"Hayupo kwenye uchaguzi. Yeye ni huyo mama
Yoga anatumix. Mpango alishatoa huo msimamo zamani, mambo mengine yalishaendelea. Nilipoona ameandika "ameamua kupumzika" hii ni sentensi ya wakati uliopo nikajua ni huyu wa sasa"Kwenye hiki kiwanda bwana YEYE aliamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza"
Aliyeamua kupumzika ni Bwana Maplan na si mwingine.
Tunasubiri wamtangaze.Poleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni
Kwenye hiki kiwanda bwana YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,
maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!
Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,
Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,
Poleni Jamii ya kiwandani
Yoga huwa anachanganya sana tenses😀Yoga anatumix. Mpango alishatoa huo msimamo zamani, mambo mengine yalishaendelea. Nilipoona ameandika "ameamua kupumzika" hii ni sentensi ya wakati uliopo nikajua ni huyu wa sasa
Mwenye kiwanda ni nani?
Kumbe ujanielewa kipenzi sasa Narudia Tena na uwe na asubuhi njemaYoga anatumix. Mpango alishatoa huo msimamo zamani, mambo mengine yalishaendelea. Nilipoona ameandika "ameamua kupumzika" hii ni sentensi ya wakati uliopo nikajua ni huyu wa sasa
Mwenye kiwanda ni nani?
Kwamba SSH atatangazwa kwa nguvu ya JMK?Soon anatangazwa unless the unthinkable is done!! 🙊🙊🙊
Yeye ni Samia.Sema Kikwete ndo kamwambia hakuna kuondoka.Bwana YEYE----> Mpango
Kikwete ndo mwenye kiwanda.Yoga huwa anachanganya sana tenses😀
Mwenye kiwanda i think atakuwa CDF.
Ameandika kwenye hiki kiwanda bwana,,,,,,YEYE... Wewe hujaelewa Ile bwana haihusiani na YEYE Ile bwana ni anazungumza nasi ya kwamba (Kwenye hichi kiwanda bwana ni kama amechoka mwandishi amevuta pumzi) sawa na kusema "Nikafika bwana Kisha nilipofika nikamkuta yeye..." Huelewi alama za uandishi?"Kwenye hiki kiwanda bwana YEYE aliamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza"
Aliyeamua kupumzika ni Bwana Maplan na si mwingine.
Ilikuwa lazima tu tena Ushindi 98% 🙌🙌😂Soon anatangazwa unless the unthinkable is done!! 🙊🙊🙊