Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

😂😂 kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! 😂😂😂

Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.

washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikie😀

Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!

Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!

Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!

Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!! 😂

Tukutane December!!!
Eti Yoga mabakamabaka top Leaders trilioni 3 zilitembwezwa nchi zima?
Je ni kweli kiongozi aliyekataa alichezea shaba papo papo?
 
yoga asante sana, ingawa wengi wetu mioyo ina kidonda kibichi.
Vipi unawashauri nini ndugu zetu kama, Sativa, Twaha Mwipaya, Hilda Newton, Baba Askofu Emmaus Mwamakula na wana harakati wengine wenye kuitetea haki, kweli, utawala bora nk nk ndani ya Taifa letu
Je watakuwa salama kiasi gani?
They are not safe, and they won't be
 
Pikipiki, baiskeli, marushwa makubwa makubwa , kununua watu ili wawasaliti wenzao,

kununua mamluki, je hizo fedha ni za kwenye kodi nchi au waliotoa hela zao binafsi na baada ya kuukalia usukani ni kupewa rasilimali ili kurudisha gharama na faida juu?
For the time being kibri, majivuno and pain to citizens!! Get ready bumpy road ahead
 
Back
Top Bottom