Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Poleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni

Kwenye hiki kiwanda bwana,,,,, YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,

maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!

Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,

Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,

Poleni Jamii ya kiwandani

Babu Oyeeee

Incase akitangazwa, walinZi wote watatu watafutwa kazi so bora wakae upande wa wafanyakazi. Hawa wakichukua hatua, watakua na uhakika wa kazi zao na wakipuuza watashushiwa lawama. Mbuzi wa kafara watakua hawa walinzi watatu. Kwa nini wameruhusu walinzi wa kiwanda cha jirani kuua wafanyakazi?!!

Wapelekeeni ujumbe, mamlaka ya kiwanda ipo kwa wafanyakazi wasiwape menejimenti.

BT ndo adui wa kiwanda, atafutwe asitoke.
 
Poleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni

Kwenye hiki kiwanda bwana,,,,, YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,

maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!

Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,

Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,

Poleni Jamii ya kiwandani
We only have one enemy,i can say one enemy if we need a samson ti silence Goliath Thats all.Godbless US.
 
Kumbe ujanielewa kipenzi sasa Narudia Tena na uwe na asubuhi njema

YEYE amesema hataki Tena kuwa HRO wa kiwanda!! ila YULE anesemekana ndio mmiliki wa kiwanda amesema hakuna kuacha akae hapo hapo apewe kiti Cha UHRO wa kiwandani na amesisitizs YEYE atangazwe sooon!!

Na amesema kuanzia leo watadhubiti mgomo kiwandani!!

YEYE atatangazwa sababu YULE amesema, na tayari bwana mtangazaji anayomatokeo ya YEYE.

Team babu wako wanapanbana kuanzisha phase two!
Who is 'babu'?
 
Kwanza niwape pole sanaaa Tena Sanaa, mliopoteza ndugu zenu siku ya kuanzia tarehe 29 mpaka leo,

Pole nyingi sanaa kwa mnao uguza majeraha, Poleni sana,

Hongereni pia mliofurahia ushindi, na uhapisho wa kihistoria.

Niseme tu hakuna mahala imeamriwa mkipishana mawazo na mtu basi mmoja anayo haki ya kumjeruhi au kutoa uhai wa mwenziye

Sisi ni binadamu Kila mmoja ataingia kaburini, usijisifie leo wakati kesho yaweza kuwa ndio mwisho wako!! Usifurahie mtatizo ya mwenzako

Sasa taadhari yangu ni hii na msiipuuze

👉 Kama una Kijana unamfahamu ambaye alishiriki kwenye maandamano na Yuko hai, na sura yake Iko kwenye mitandao, mwambie sio wakati wa YEYE kutembea sanaaa mtaani na kupost Sanaa habari zake mtandaoni

For now( afute details and a keep it private) sometimes silence is the best weapon!!

#Tukutane December, #bado wiki nne
 
yoga asante sana, ingawa wengi wetu mioyo ina kidonda kibichi.
Vipi unawashauri nini ndugu zetu kama, Sativa, Twaha Mwipaya, Hilda Newton, Baba Askofu Emmaus Mwamakula na wana harakati wengine wenye kuitetea haki, kweli, utawala bora nk nk ndani ya Taifa letu
Je watakuwa salama kiasi gani?
 
Poleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni

Kwenye hiki kiwanda bwana,,,,, YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,

maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!

Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,

Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,

Poleni Jamii ya kiwandani
Madam yoga? Ijumaa uliwezaje kupost humu? Maana internet haikuwepo, hata ile ya kupitia Faber ilikuwa ni mara chache sana kufunguka tena kwa shiiida?
 
Back
Top Bottom