Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

The Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI), should become the Eastern and Southern African Management University (ESAMU), and all SADC member states should be members of ESAMU.
 
Kuna ile story ya jamaa asiyejua kuandika wala kusoma. Siku moja akiwa kwenye dalala kashika gazeti la Daily News akilikodolea macho, na kutikisa kichwa akisema dah? kana kwamba anaelewa yaliyoandikwa kumbe kageuza gazeti juu chini. Huwa nakumbuka kisa cha yule jamaa kila nisomapo comments za huu uzi.
 
Kuna kipindi nilishamwamini sana TA akili kila alichokuwa anakisema kilikuwa kinatokea na nikaamini taifa lina deep state imara sana.

Ila tangu mambo ya hovyo yalivyozidi kuendelezwa na pengine kumzidi kwa mbali Magu kwanza nikaona hata Magu wa watu walimuonea tu kumuondoa maana angalau ukiondoa mapungufu kadha wa kadha huyo mtu alikuwa na uzalendo mkubwa kwa taifa na rasilimali zake. Yanayoendelea kwasasa nadhani hii nchi haina deep state wala usalama wa taifa, na kama hivyo vitu viwili vipo basi vipo kwa maslahi ya watafunaji wa rasilimali za taifa na si kwa maslahi ya taifa na vizazi vijavyo. Kidogo JW ni sehemu pekee angalau inaweza kuwa msaada kwa taifa na wazawa wake.

TA kwenye uzi wake wa Brother usiondoke niliweka matumaini makubwa kuwa angalau nchi inaweza kurudi kwenye misingi yake lakini ninavyoona uchaguzi utafanyika na huyu mama muuza nchi atajishindisha kwa kishindo na taifa litaendelea kuibiwa kwa kasi ambayo haikuwahi kushuhudiwa kabla. Na mlolongo wa urais wa kurithishana utaasisiwa rasmi.

Kikubwa na cha muhimu ambacho kitasaidia ni iwapo MO 29 itafanikiwa nadhani katika hili jeshi letu ambalo ndilo pekee limebaki na uzalendo lifanye kweli kupitia maandamano otherwise twafa.
 
Hao wakina TA wamezidiwa kete na wahuni, ndio walio kua wanampa moyo pole pole watamlinda lkn ndo hivo kikaumana.

Sasa hivi naona wameona bora waunge mkono maandamano
 
Sasa inakuwaje DS inazidiwa nguvu na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi na wauza nchi basi hili taifa litakuwa na secret society za hovyo haijawahi kutokea.

Inatakiwa nchi kuwa kubwa kuliko kitu kingine chochote. Kama Polepole wamemuuwa hakika wameua mzalendo mkubwa sana kwa taifa lake.
 
Kuna kipindi nilishamwamini sana TA akili kila alichokuwa anakisema kilikuwa kinatokea na nikaamini taifa lina deep state imara sana.

Ila tangu mambo ya hovyo yalivyozidi kuendelezwa na pengine kumzidi kwa mbali Magu kwanza nikaona hata Magu wa watu walimuonea tu kumuondoa maana angalau ukiondoa mapungufu kadha wa kadha huyo mtu alikuwa na uzalendo mkubwa kwa taifa na rasilimali zake. Yanayoendelea kwasasa nadhani hii nchi haina deep state wala usalama wa taifa, na kama hivyo vitu viwili vipo basi vipo kwa maslahi ya watafunaji wa rasilimali za taifa na si kwa maslahi ya taifa na vizazi vijavyo. Kidogo JW ni sehemu pekee angalau inaweza kuwa msaada kwa taifa na wazawa wake.

TA kwenye uzi wake wa Brother usiondoke niliweka matumaini makubwa kuwa angalau nchi inaweza kurudi kwenye misingi yake lakini ninavyoona uchaguzi utafanyika na huyu mama muuza nchi atajishindisha kwa kishindo na taifa litaendelea kuibiwa kwa kasi ambayo haikuwahi kushuhudiwa kabla. Na mlolongo wa urais wa kurithishana utaasisiwa rasmi.

Kikubwa na cha muhimu ambacho kitasaidia ni iwapo MO 29 itafanikiwa nadhani katika hili jeshi letu ambalo ndilo pekee limebaki na uzalendo lifanye kweli kupitia maandamano otherwise twafa.
Usife moyo..
 
Huu uzi naona kama tulikuwa tunapangwa tu ili kutuliza makasiliko. Tumia Akili naye katuacha solemba maana siku kweishinei.
 
Back
Top Bottom