Blood of Jesus Christ
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 616
- 1,116
Atafika March 2026?Mnacho ombea hakipo Kwa sasa ila baadae kipo
Atafika March 2026?Mnacho ombea hakipo Kwa sasa ila baadae kipo
Maybe katikati ya msafara meli inaweza piga uturn ,Hii mara ya pili anaongea kuhusu kumaliza mitano tena.Kipi hicho?
Ni mbingu zimesema au ni wewe mwenyewe?Mnacho ombea hakipo Kwa sasa ila baadae kipo
Trust me, it won't be what u wish now but letter on it will... 😂 Don't be confused with all these dramas, usije sema sikukiambia!! Tatizo hamuwajui vizuri hawa watu they are very good at maigizo!! December sio mbaliNi mbingu zimesema au ni wewe mwenyewe?
Maana mwaka huu tunatembea na unabii maana ni mwaka wa yubilee
Saa ngapi mkuu?Nani, born town au??
haiwezekani ad saiv ujatia neno la kueleweka..nusu dengu nusu donaThanks babaaa😄
Asante Yoga kumbe ni Dec tu hapo I am waitingTrust me, it won't be what u wish now but letter on it will... 😂 Don't be confused with all these dramas, usije sema sikukiambia!! Tatizo hamuwajui vizuri hawa watu they are very good at maigizo!! December sio mbali
Both born town na bonge la dada??Nani, born town au??
EWaaa hayo ndio manenoLakueleweka jiandae na mitano tena zingine ni kelele tu!!
Yoga bhana mmmmmh, wewe saa nyingine unasomeka kama Sasha,Nani, born town au??
Lakueleweka jiandae na mitano tena zingine ni kelele tu
Sasa Yoga, ni nin mustakabali wa Nchi, aliyofanya hii miaka ndio yataendelea business as usual? Yaan life litakua tight kias hiki au litabana na uholela zaidi ya huu?Lakueleweka jiandae na mitano tena zingine ni kelele tu!!
Mmmhh, kama ulitujaza na hakijawa, tuamini vipi hiyo story yako? Au ndio mambo ya kutanua goal?Mnacho ombea hakipo Kwa sasa ila baadae kipo
Kuwajaza mimba kimjini mjini,,sema watu hawajaelewa michezo ya town political games. Hapo nachoelewa mtu anaingizwa mzima mzima then wazee wakijafyatua trigger sababu wanazo za ku comment maana itakuwa sio kujitetea Tena ni kutoa comments why so and so!!,,Hi michezo migumu zaidi ya Chess. Wacha tuone,michezo ya mjini.Kuku jaza which??? Where?? How?? What??? 😅.