Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,404
- 6,228
Okay
kaeni kwa ukitulia kabisa hakuna mtu atawasaidia Wala muujiza wowote, naongea haya leo nikitafakari kijacho!!Kama utani vile, kelele zikawa nyingiiiiii, tabiri zikawa nyingiiii watu wakidhani kuwa zitawatisha wenye maamuzi ndani ya kampuni
Niliwaambia hapa tusisubiri ndege stand!!
Atakae waokoa wateja wa kampuni ni wateja wenyewe wawe tayari kwa lolote kama wateja ndio Hawa Hawa tulionao, basi jipeni poleeee wapendwa!!
kaeni kwa ukitulia kabisa hakuna mtu atawasaidia Wala muujiza wowote, naongea haya leo nikitafakari kijacho!!
Nawatakia alfajiri njema huko mliko
Tukutane December!!
December Kuna nini yoga!!?ukamilifu wa nini!!?Kama utani vile, kelele zikawa nyingiiiiii, tabiri zikawa nyingiiii watu wakidhani kuwa zitawatisha wenye maamuzi ndani ya kampuni
Niliwaambia hapa tusisubiri ndege stand!!
Atakae waokoa wateja wa kampuni ni wateja wenyewe wawe tayari kwa lolote kama wateja ndio Hawa Hawa tulionao, basi jipeni poleeee wapendwa!!
kaeni kwa ukitulia kabisa hakuna mtu atawasaidia Wala muujiza wowote, naongea haya leo nikitafakari kijacho!!
Nawatakia alfajiri njema huko mliko
Tukutane December!!
wateja wako paralysed , ivi why December ??Kama utani vile, kelele zikawa nyingiiiiii, tabiri zikawa nyingiiii watu wakidhani kuwa zitawatisha wenye maamuzi ndani ya kampuni
Niliwaambia hapa tusisubiri ndege stand!!
Atakae waokoa wateja wa kampuni ni wateja wenyewe wawe tayari kwa lolote kama wateja ndio Hawa Hawa tulionao, basi jipeni poleeee wapendwa!!
kaeni kwa ukitulia kabisa hakuna mtu atawasaidia Wala muujiza wowote, naongea haya leo nikitafakari kijacho!!
Nawatakia alfajiri njema huko mliko
Tukutane December!!
Siku zinapungua kuelekea December.Tukutane December!!
Tumwagie nywele maji kabisa. Kinyozi anyoe atakavyo maana watz ndio hawa hawaKama utani vile, kelele zikawa nyingiiiiii, tabiri zikawa nyingiiii watu wakidhani kuwa zitawatisha wenye maamuzi ndani ya kampuni
Niliwaambia hapa tusisubiri ndege stand!!
Atakae waokoa wateja wa kampuni ni wateja wenyewe wawe tayari kwa lolote kama wateja ndio Hawa Hawa tulionao, basi jipeni poleeee wapendwa!!
kaeni kwa ukitulia kabisa hakuna mtu atawasaidia Wala muujiza wowote, naongea haya leo nikitafakari kijacho!!
Nawatakia alfajiri njema huko mliko
Tukutane December!!
They played a trick on you and you got caught in it.Sana oyun oynadılar ve sen onların oyununa yakalandın.
Tchao!!!
Ni mwezi wa kufanya maadhimisho ya kumbukumbu za uhuru wa Tanganyika.Tukutane December!
code ipo sawa ,,,,,,,,,,,Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Beginning of an error and not era!! Total confusions and darkness, the haves will have more🫡Ni mwezi wa kufanya maadhimisho ya kumbukumbu za uhuru wa Tanganyika.
Kutakuwa na nini December?
Je uzinduzi wa bunge?
Je Team Msoga mmepaga kufanya nini?
Mchawi wa Taifa asipodhibitiwa nchi anaweza kuinya kama Sudan ya Khahoutm au Congo DRC.
Hp kasema vyama project vyenu wana mtandao baada ya uchanguzi itakuwa kama miaka ile kule Berlin dhidi ya Afrika na rasilimali zake kungawana na kufanya uporaji wa raslimali za nchi.Beginning of an error and not era!! Total confusions and darkness, the haves will have more🫡
Vyama mali ya wanamtandaoVyetu nanani🙊
Election re election!!?Beginning of an error and not era!! Total confusions and darkness, the haves will have more🫡