Amani haiwezi kuwepo kama hakuna haki.amani itatoweka tu na wanaozuia haki mtatoweka tu.Amani ya Nchi kwanza
Kw hivyo amani itatoweka ili kutafuta haki.Amani haiwezi kuwepo kama hakuna haki.amani itatoweka tu na wanaozuia haki mtatoweka tu.
Nini maana yake?The night courier has completed his final delivery!
Uyo devil alitaja adi id niliyohisi alikua anatumia polepole humu JFsio mwongo bali hajui.hajui kwasababu hajaelewa maana hiyo sentence.kuna mwingine huko juu katafsiri kuwa slow slow hajamalizwa,anakuja kwa upya.
WHat does it mean?? Mr polepole has gone to mesiah??The night courier has completed his final delivery!
Fidex wamefikisha mzigo waliotumwa. Nothing more nothing less 😁😁Nini maana yake?
Fidex ndiyo kina nani?Fidex wamefikisha mzigo waliotumwa. Nothing more nothing less 😁😁
CouriersFidex ndiyo kina nani?
Couriers
YOGAThe night courier has completed his final delivery!
What next 😳 🤔 😕 😐 👀 😑The night courier has completed his final delivery!
Yani comment zako siku izi zinaleta tena maswali juu ya maswali mbaya zaidi ziko coded dah😅The night courier has completed his final delivery!
Hiyo ya kwako. Na umechemka vibaya mno. By the way Paulo naona anaenda kutimiza ndogo yake ya kuwa MP fikisha pingezi kwakeUmechemsha na haujacheki y uulizwe tena as fidex inamaana ingine!!
Labda kama haukuwa unamaanisha FedEx.
Hiyo ya kwako. Na umechemka vibaya mno. By the way Paulo naona anaenda kutimiza ndogo yake ya kuwa MP fikisha pingezi kwake
Nimesoma ujumbe wa Lema pia.The night courier has completed his final delivery!
AnasemajeNimesoma ujumbe wa Lema pia.
Ujumbe huu wa Yoga, Ujumbe wa Lema ulioandikwa kifundi ukisindikizwa na muziki wenye hisia kali .... nimejiongezaUnasemaje