Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ujumbe huu wa Yoga, Ujumbe wa Lema ulioandikwa kifundi ukisindikizwa na muziki wenye hisia kali .... nimejiongeza
Mimi nimepitia kwa Kipanya! Kibonzo chake nacho kina Mengi. ....sijui ... "reunion" au seisilia maana kichaawamagari Hana gereji?

Munisamehe kwa ugumu wa code si kwa hiyari yangu. Ni Hali na miiko ya uzi huu.
 
A; Babu Babu hivi yule Kikubwa kikubwa alikuwa na team?

Kama alikuwa na team hiyo team ilikuwa inajua inashindana na team yenye nguvu kiasi gani?
B; Mjukuu wangu sisi watu wa vijiji vya ndani ndani kama huku Ngarash hatuna tunachokijua cha huko juu kaa kimya.

A; Babu nawe, wewe ni mtu wa ajabu sana unanitia hasira wallah,
Babu team yake kikubwa kikubwa ni team ya hovyo kwani ilipaswa iwe imejipanga kila idara, walipswa wawe watu wa ubaya ubwela, jino kwa jino,
Kwani Babu nao wangejibu mapigo kwa kumchukua Rixmoko, au Dullayo, au yeyeto ambaye ni papa kwa kutumia
GRU au M16, au ISI au Mossad,
Kisha sharti ni mwachieni Kikubwa kikubwa na sisi tumwachie Rixmoko laa hamtaki na sisi tunalala kiulalo ulao na huyu wenu, laa mmemficha na sisi twamficha huyu, mmemua na sisi ....
Babu wameshindwa nini kufanya hivyo?
B; Mjukuu wangu Tanzania ya 1986-2015 si ya sasa, ya Goswe mwachie Goswe.

A; oya babu kubuka wetu ni mtani wangu ila unazingua mtani wewe jua linakaribia kuzama kuna sisi na vitukuu wako kumbuka.
Halafu Babu hawa team kikubwa kikubwa walishindwa nini kumtumia yule M7 ili kuwasaidia mpambano naamini asingekataa?
 
The silver key has been activated. The gatekeeper now holds the main seal.

Or

The shipment just cleared customs — she’s officially on the new manifest.
Duuhh
 
The silver key has been activated. The gatekeeper now holds the main seal.

Or

The shipment just cleared customs — she’s officially on the new manifest.
Et Kuna baadhi ya kambi za Jeshi zimeaasi Tyr, no one in no one out.
 
The silver key has been activated. The gatekeeper now holds the main seal.

Or

The shipment just cleared customs — she’s officially on the new manifest.
Duh aiseee pamechacha,, that's according to Akashic records all these should happen it's time now.
As above so below,as within so without.
 
The silver key has been activated. The gatekeeper now holds the main seal.

Or

The shipment just cleared customs — she’s officially on the new manifest.
Explanation of the metaphorical phrase

The silver key has been activated: This is a symbolic way of saying that the necessary condition or "key" to allow passage has been met. In this case, the "key" is the successful completion of the customs process.
The gatekeeper now holds the main seal: The "gatekeeper" represents the customs authority, and the "main seal" is a symbol of official approval. It means the authority has processed the shipment and has officially stamped its approval for movement.
 
Back
Top Bottom