Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike

Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!

Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.

Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!

Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!

Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!

The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!

Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!

Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!

Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!

Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!

Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!

The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?

Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!

The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!

Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!

Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!

Let see will the new boss stick to the plan? or...


Itaendelea.......


Guess the company!??

Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...

Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Aisee
 
Ukiangalia wengi wanaojifariji humu ni wale kenge walitusumbua kila siku kuwa watazuia uchaguzi ila baada ya Mambo kuwaendea vigumu wamekaa pembeni kuomba ujinga ujinga utoke never ever Chama chenu ndiyo hivo kimeshakufa jiandaeni kuhamia kwingine
wengi wao wamekimbia kilimo kijijini na wamefikia mjini hawana kazi wanaishi kwa HISIA kwamba kila mwenye hela ni mwizi. Hakuna hela za kushuka kama mvua hata atawale nani.
 
Yoga ni muongo🙊
Yoga Mpiga ramli🙊
Yoga hamna anacho jua 🙊

Yote ni sawa na NI kweli 😂😂😂😂😂

Kwa sababu hii ni adithi.....

na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company

Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.

Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO

kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,

Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo

sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,

kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO

ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
Illusion... Mambo ya kufirika na kuunga dots
 
yoga ,siyo kwa ubaya, unaonekana unaunganisha nukta. Jaribu kuunganisha nukta hizi:

1995: Uchaguzi wa kumtafuta mgombea urais kupitia CCM, Born Town alishinda lakini Nyerere aliingilia kati akapewa Mkapa.

1999: Nyerere anafariki.

2015 :Uchaguzi wa kumtafuta mgombea urais kupitia CCM ulitaka kukisambaratisha chama coz of chaguo la Born Town. Mkapa akaokoa jahazi! Akatokea Magufuli ambaye hakuwa chaguo la Born Town!

2020 : Mkapa anafariki.

2021: Magufuli anafariki.

yoga , toa neno kuhusu hizo nukta!
 
Kwa buu Mtiririko wa riwaya, Zitto na Maalim seif ndio waliotumika kama njia kuu ya uchavushaji,Zitto alikua anajua kinachoendelea but Maalim alikua zuzu na ndio wa kwanza kuathirika na kilichowekwa kwenye documents.......niko usingizini au naota aaagggggrrrr kumbe ni saa 1 na dakika 41 asubuhi.
Ni mkwe wa mzee wa msoga...awezi kuigusa familia yake...ili wajukuu wabaki yatima😅😅😅
 
Back
Top Bottom