Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,034
- 6,768
Viongozi hawa hawa ambao wanajazana familia? Viongozi hawa ambao wana miliki mansion za kutosha?Hy hatma ya nchi itajengwa bila viongozi?

Muongo muongo sanaHata mimi naamini hivo, maana anasubiri mambo yatokee halafu ndio aje kuyasimulia kwa kuunganisha dots ambapo inakuwa ni sanaa ya kuunda scripts tuu! Ila namuheshimu kwa kuwa uwezo wa kuunda mtiririko wa visa na mikasa yenye kusisimua!
Vzr kama mshaanza kumuelewa JPMNdo maana watu wanatoa ushauri na kupiga kelele baadhi ya vitu virekebishwe kupata hao viongozi ambao wako vzr laa sivyo Hali sio shwari
Yaani sshv ndo tunamuelewa Magufuli aliyekuwa na uthubutu
Nipo na JPM hapa mbinguni , tunacheka kwa furahaVzr kama mshaanza kumuelewa JPM
differently kiaje ???Yoga ni muongo🙊
Yoga Mpiga ramli🙊
Yoga hamna anacho jua 🙊
Yote ni sawa na NI kweli 😂😂😂😂😂
Kwa sababu hii ni adithi.....
na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company
Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.
Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO
kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,
Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo
sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,
kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO
ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
Mi magu nilimuelewa sn tu pamoja na mapungufu yake maana ni mwanadamuVzr kama mshaanza kumuelewa JPM
MhhhKazi nzuri yoga weka hata namba ya simu tukuchangie walau hela ya bando
NIlikuuliza hapo nyuma,nauliza tena je,hayo uyasemayo ni ya kiroho au kimwili? kama ni utaratibu wa kawaida,nyakati zake zimepita,kwa sasa tunaenda na manabii wa Mungu.asa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,
kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO
Uongo.Yoga ni muongo🙊
Yoga Mpiga ramli🙊
Yoga hamna anacho jua 🙊
Yote ni sawa na NI kweli 😂😂😂😂😂
Kwa sababu hii ni adithi.....
na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company
Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.
Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO
kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,
Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo
sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,
kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO
ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
ChoiceVariableKwahiyo December unakuja kuleta habari gani mpya?
Anyway mkeka wa Sheikh Yahaya bado unapumua
Pole sana Dogo Rema Argus wewe komalia biashara na starehe zako tu , Maarasssiasa ni mchezo wa ajabu ajabu, uli muondoa mjomba wangu kimasikhara.
nadhani ndio zama za wasio julikana zili anzia huko, let me stick to business pekee.
Huku hatutaji majina.....ayaweke...
Yoga, thx for this part of story.Yoga ni muongo🙊