Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 972
- 2,237
Waswahili walisema maskini akipata sijui nini hulia mbwata, sasa aliyemtetea kwa kutumia hicho kipande cha kijikaratasi anajisikiaje huko aliko?Mabeyo alifuata katiba, ambayo mama yenu anasema ni kipande cha kikaratasi tu
Sent using Jamii Forums mobile app