Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

mkuu ni rahisi kutell a story ukiangalia nyuma na kuziunganisha wakati jambo limeshatokea , kwa sasa informer mwenye unafauu ni TA , yoga ni mtaalamu wa kuunga dots. *inshort Trust no one mpe 50% zengine 50% kaa nazo .
Hata TA naye ni kama hakuna kitu nchi hii born town anaonekana yuko mbele ya wakati sana, hata akiamua nchi ibadilishwe jina iitwe Kikwete sidhani kama kuna mtu wa kumzuia. Ifike hatua tuache hata kuambiana habari za Deep State. Kama wangekuwepo kwa maslahi mapana ya taifa sidhani kama huu upumbavu wangeruhusu ufanyike.
 
August august august!
Edmond mystic
 
Hata TA naye ni kama hakuna kitu nchi hii born town anaonekana yuko mbele ya wakati sana, hata akiamua nchi ibadilishwe jina iitwe Kikwete sidhani kama kuna mtu wa kumzuia. Ifike hatua tuache hata kuambiana habari za Deep State. Kama wangekuwepo kwa maslahi mapana ya taifa sidhani kama huu upumbavu wangeruhusu ufanyike.
Inakera sana. Humu kutiana moyo tu kua blablaaa basi. Ukweli mgumu sana kuumeza na watanzania wengi hawautaku maana unawaumiza. Deep state ukute ni ka kikundi ka wajomba flan wahuni makada wa kijani.
 
Hii post ya kwanza kabisa ya Lissu naona wameifuta. 👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20250801-215703_Chrome.jpg
    Screenshot_20250801-215703_Chrome.jpg
    208.1 KB · Views: 25
Hii post ya kwanza kabisa ya Lissu naona wameifuta. 👇👇👇
Mungu amlinde na kumuepusha na mauti Mungu wa haki isimame na kuipigania haki ya kuishi ya huyu Baba hiyo mipango yao ifutike kwa Jina la Yesu Kristo... nakumbuka pia kuna mahali yoga alisema kijana msema sana anaandaliwa mauti na safari hii itaonekana kama natural death
Mungu ulie hai mkono wako haukupunguka hata usiwaze kuokoa ninaomba samehe dhambi yake na maovu yake yote mkumbuke Bwana, mlinde asipate madhara, kifo kabla ya wakati tunakataa kwa Damu ya Yesu Kristo
 
Naomba maombi yangu yawe pamoja na yako Ameeen
 
Amen amen
 
Ukiangalia wengi wanaojifariji humu ni wale kenge walitusumbua kila siku kuwa watazuia uchaguzi ila baada ya Mambo kuwaendea vigumu wamekaa pembeni kuomba ujinga ujinga utoke never ever Chama chenu ndiyo hivo kimeshakufa jiandaeni kuhamia kwingine
 
Back
Top Bottom