Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Yoga ni muongo🙊
Yoga Mpiga ramli🙊
Yoga hamna anacho jua 🙊

Yote ni sawa na NI kweli 😂😂😂😂😂

Kwa sababu hii ni adithi.....

na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company

Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.

Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO

kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,

Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo

sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,

kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO

ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
 
Ngoma bado 0 kwa 0 kwa maoni yangu ya kiroho, hakuna BT wala nani ,nyakati zimefika mtashangaa
 
sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN
Samia Lazima ashinde uchaguzi, iwe kwa kura za wananchi au za kuiba, chadema waendelee kujifariji na kampeni yao tuu wakati huu ndo ulikuwa muda wao kuingia hata bungeni baada ya kula moto kwa nguvu 2020
 
Hasemi siku hizi yoga sijui kahamishwa section. Mara aseme tunasubiri meli airport.
Tunamtaka yoga wetu wa kumwaga codes zilizoluwa zina aksi ukweli
anaogopa, jamaa wanaweza kuku feed infor peke yako, wakazikuta popote wanajua mvujishaji ni nani.. wapo makini kweli hasa hiki kipindi hiki wanawindana kweli
 
Hata ye Kuna mambo hajui
Anakwambia 5 Tena kelele ,Bado mambo mengi yanakuja hajui😂
Yoga kaishapoteana kitambo.. Kwa lugha ingine ka expire.. Awamu ya kwanza ya uzi huu alipata kwa sehemu na sio accurate 100% kuna mahala alikuwa ana wrong info.. na kuna sehemu alikuwa right.. Issue sasa hivi hata kama anapata info ni hot awezi kuongea hapa ataliwa kichwa asubuhi namepamaa..
 
mkuu ni rahisi kutell a story ukiangalia nyuma na kuziunganisha wakati jambo limeshatokea , kwa sasa informer mwenye unafauu ni TA , yoga ni mtaalamu wa kuunga dots. *inshort Trust no one mpe 50% zengine 50% kaa nazo .
Current hana, na kama anazo hawezi thubutu kuongea kesho atajikuta na chatu peke yake... jamaa now wana jipa info kishenzi kujua yupi ni yupi.. unaweza ambiwa jambo peke yako, sasa wakalisikie kwingine.. ndio utaelewa maana ya kiapo
 
Yoga ni muongo🙊
Yoga Mpiga ramli🙊
Yoga hamna anacho jua 🙊

Yote ni sawa na NI kweli 😂😂😂😂😂

Kwa sababu hii ni adithi.....

na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company

Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.

Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO

kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,

Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo

sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,

kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO

ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!

sio sasa hivi, ilikuwa wakati flani na majira flani na sio kila kitu.. walio kosea wali push kete vibaya kika walamba.. mchezo wao ni kama draft la kirusi..
 
Yoga kaishapoteana kitambo.. Kwa lugha ingine ka expire.. Awamu ya kwanza ya uzi huu alipata kwa sehemu na sio accurate 100% kuna mahala alikuwa ana wrong info.. na kuna sehemu alikuwa right.. Issue sasa hivi hata kama anapata info ni hot awezi kuongea hapa ataliwa kichwa asubuhi namepamaa..
Hahaha kumbe anaogopa
 
Yoga ni muongo🙊
Yoga Mpiga ramli🙊
Yoga hamna anacho jua 🙊

Yote ni sawa na NI kweli 😂😂😂😂😂

Kwa sababu hii ni adithi.....

na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company

Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.

Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO

kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,

Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo

sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,

kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO

ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
Sentensi ya mwisho
 
Aanzie wapi kusema, huenda kuna taarifa sensitive ukawa nazo kuliko Yoga. Kinachomtoa mama wengi hawakijui, na wanaokijua wametulia kwasababu wanajia mwisho wa mchezo utakuwaje.. Ni kama vita ya Matowashi walipo enda muua Queen Jezebel.
ahahaha ,Mungu bwana ana namna yake ....na wengi tu wanajua mwisho wa mchezo ila wameamua kupiga kimya...
 
Back
Top Bottom