Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
unamaanisha nini sasa?
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Una kitu wewe uheshimiwe tafadhali, haya endelea kuotaKwa buu Mtiririko wa riwaya, Zitto na Maalim seif ndio waliotumika kama njia kuu ya uchavushaji,Zitto alikua anajua kinachoendelea but Maalim alikua zuzu na ndio wa kwanza kuathirika na kilichowekwa kwenye documents.......niko usingizini au naota aaagggggrrrr kumbe ni saa 1 na dakika 41 asubuhi.
Kwenye huu uzi hatutaji majina halisi bosi. Ila Mr weight ni moja ya wahusika kumuuondoa ex ceo na kumbuka hata issue ya ntwara ex ceo aliponea chupuchupu Mr Weight alitoa pongezi kwa current ceo kuwa amekuwa rais na baada ya hapo ex ceo alipiga mpaka wimbo wa dini akidhani kapona. Matendo ya current ceo yanaonesha alimuua ex ceo ili ashike utamu bila kujua kuwa na yeye yuko hatarini kwa sababu watu wa cuba nao wameshachora mchoro wa wahusika woteKwa buu Mtiririko wa riwaya, Zitto na Maalim seif ndio waliotumika kama njia kuu ya uchavushaji,Zitto alikua anajua kinachoendelea but Maalim alikua zuzu na ndio wa kwanza kuathirika na kilichowekwa kwenye documents.......niko usingizini au naota aaagggggrrrr kumbe ni saa 1 na dakika 41 asubuhi.
Jukwaa la wazushi Muhimu sanaKwenye huu uzi hatutaji majina halisi bosi. Ila Mr weight ni moja ya wahusika kumuuondoa ex ceo na kumbuka hata issue ya ntwara ex ceo aliponea chupuchupu Mr Weight alitoa pongezi kwa current ceo kuwa amekuwa rais na baada ya hapo ex ceo alipiga mpaka wimbo wa dini akidhani kapona. Matendo ya current ceo yanaonesha alimuua ex ceo ili ashike utamu bila kujua kuwa na yeye yuko hatarini kwa sababu watu wa cuba nao wameshachora mchoro wa wahusika wote
Kwa jinsi ambavyo vita vya madaraka vinavyoendelea kuna uwezekano mkubwa kukatokea haja ya kufahamika kwa chanzo cha kifo cha Ex CEO wa kampuni huenda ikageuka kuwa kete muhimu na hata kuwa "pandora box"
Tuhuma kubwa sasa ni ya incumbent CEO katumia mchakato haramu ili azidi kushikilia kiti chake. Sauri sasa zinasikika wazi zikiulaumu mchakato uliotumika kuwa ni kinyume cha katiba, desturi na utaratibu uliowekwa na waasisi.
Hebi sasa tusubirie kituo kinachofuata
😂😂😂Oya director! Kwenye hili picha letu huyu mzee wa CUBA alikuwemo au tumtafutie nafasi yake?
😂😂😂Red Flags zimetundikwa kila kona.
Possibility ya Outbreak ni real –
Could be viral,
Could be liquid-based,
Could be Doctor from Ice-Continent already did the seeding...
Bottom line: TRUST = NULL.
Conflict haijapoa.
Hii ni Silent Storm Protocol,
Na round hii ni ya Quantum-Warfare.
Watch the shadows...game imeshabadilika.
Hii inaitwa Cartoon NetworkOya director! Kwenye hili picha letu huyu mzee wa CUBA alikuwemo au tumtafutie nafasi yake?
Yoga matopweni pwaah! Hamfrey katingisha meza ya kahawa! Kina yoga wamepigwa ganzi no stori😁😁😁Hii inaitwa Cartoon Network
That’s all folks
Ngoma bado ngumu hii, si umesikia kizimkaz vikao vimepamba moto mama lazima anajipanga na comeback 🥹Yoga matopweni pwaah! Hamfrey katingisha meza ya kahawa! Kina yoga wamepigwa ganzi no stori😁😁😁
Once upon a time Nilidhani I humu ni home pf a great thinkers… I was roght then hasa between 2006-2015Yoga matopweni pwaah! Hamfrey katingisha meza ya kahawa! Kina yoga wamepigwa ganzi no stori😁😁😁
😳😳Once upon a time Nilidhani I humu ni home pf a great thinkers… I was roght then hasa between 2006-2015
Baada ya kifo cha chadwma na kusali wa chakandumuz… akili zetu huku wote zimefubaa
Tumeishia kuwa shallow, dramatic, wazushi na hisia kali bila depth ya uelewa
Yoga Bado ni relevant na what is happening now ni show ya intelijensia… ABD has nothing to do with Kikulacho
Kikulacho ni breathing space Kwa dreamers