Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Habari. Kuna thread imeondolewa ilipostiwa mchana hivi nadhan , ni ya prophet sikumbuki jina lake ni kama ilitokea Instagram..unakumbuka...
Huyu au? 👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20250811-114823_Chrome.jpg
    Screenshot_20250811-114823_Chrome.jpg
    221.6 KB · Views: 23
Mungu amlinde na kumuepusha na mauti Mungu wa haki isimame na kuipigania haki ya kuishi ya huyu Baba hiyo mipango yao ifutike kwa Jina la Yesu Kristo... nakumbuka pia kuna mahali yoga alisema kijana msema sana anaandaliwa mauti na safari hii itaonekana kama natural death
Mungu ulie hai mkono wako haukupunguka hata usiwaze kuokoa ninaomba samehe dhambi yake na maovu yake yote mkumbuke Bwana, mlinde asipate madhara, kifo kabla ya wakati tunakataa kwa Damu ya Yesu Kristo
Amina
 
Ndo maana watu wanatoa ushauri na kupiga kelele baadhi ya vitu virekebishwe kupata hao viongozi ambao wako vzr laa sivyo Hali sio shwari

Yaani sshv ndo tunamuelewa Magufuli aliyekuwa na uthubutu
Things turning upside down, kipindi cha Magufuli Tanzania ilikuwa ni nchi tajiri inayoweza kujitegemea, na hii mentality ikaanza kujengeka kwenye akili na mioyo ya Watanzania.
Ila sasa Tanzania ni nchi masikini, omba omba, na mikopo mara dufu.

Ogopa wahuni.
 
Oooh nimekuelewa...kwamba sawa atakuepo hadi iyo feb..ila yule bwana atachukua mpira kiulainii kwa mtelezo wa kitonga 😛😛...dah Bora mimi sikuwa jasusi..ningeshaweka maspika nchi nzima kutoboa siri
Kwa hiyo ndg nchi mbichi amewekwa kimkakati, ikitokea Mkuu akaenda zake, atafaa kuliongoza kalandinga.
 
Sa
Things turning upside down, kipindi cha Magufuli Tanzania ilikuwa ni nchi tajiri inayoweza kujitegemea, na hii mentality ikaanza kujengeka kwenye akili na mioyo ya Watanzania.
Ila sasa Tanzania ni nchi masikini, omba omba, na mikopo mara dufu.

Ogopa wahuni.
Samia hajamkutia Magufuli kwa kukopa..Magu alikopa hadi kwa taasisi binafsi na mifuko ya wastaafu. By the way wote ni CCM
 
Things turning upside down, kipindi cha Magufuli Tanzania ilikuwa ni nchi tajiri inayoweza kujitegemea, na hii mentality ikaanza kujengeka kwenye akili na mioyo ya Watanzania.
Ila sasa Tanzania ni nchi masikini, omba omba, na mikopo mara dufu.

Ogopa wahuni.
Too bad
 
Back
Top Bottom