Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Trust me, it won't be what u wish now but letter on it will... 😂 Don't be confused with all these dramas, usije sema sikukiambia!! Tatizo hamuwajui vizuri hawa watu they are very good at maigizo!! December sio mbali
Tunawajua,ila hatuna la kuwafanya,mtu mmoja alisikika akisema tupo kwenye ''state capture''
 
Kwenye huu uzi hatutaji majina halisi bosi. Ila Mr weight ni moja ya wahusika kumuuondoa ex ceo na kumbuka hata issue ya ntwara ex ceo aliponea chupuchupu Mr Weight alitoa pongezi kwa current ceo kuwa amekuwa rais na baada ya hapo ex ceo alipiga mpaka wimbo wa dini akidhani kapona. Matendo ya current ceo yanaonesha alimuua ex ceo ili ashike utamu bila kujua kuwa na yeye yuko hatarini kwa sababu watu wa cuba nao wameshachora mchoro wa wahusika wote
Duuuh,kumbe bonge la bibi naye ni hatari sana kumbe?🙌
 
Ayatola wa Tanzania wa mchongo, muhuni muhuni, Fisadi baba wa mafisadi Tz kwa kumwongopa Edo na team yake alihamishia Dodoma makomando ili awe na ujasiri wa kumkata Edo,
Nadhani wazalendo wasipokuwa makini ndicho atakachokifanya
Kwa hiyo Edo ndio alikuwa mzalendo? hivi unawajua ccm vizuri?
 
Back
Top Bottom