Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

mi swala langu ni SAMSUNG J5 nili factory reset..baada ya hapo imewaka inadai previous user email nikawa nimesaau password nikafanya confirmation kupitia simu ingine nikachange password..
sasa ishu nikija kulog in kwenye SAMSUNG inagoma inasema log in with owner email wakati email ndo io io ila password tu ndo nimechange..
 
Pole sana
 
Nimeinstall gsm flasher tool kwenye pc yangu na niweka drivers za adb ziko ok, lakini nikijaribu ku connect na simu ya android inasema may be drivers not found. Natumia USB cable kufanya connection. Wat else should I do kucheza na hizi android phones ili niweze kuziflash and watever
 
Wataaalu wa computer watakuj
 
Simu yangu huwa inaleta notification hi I "unfortunately media container has stopped" unalistop VP hili tatizoo
 
Nineobgea hivyo nikiwa na sababu kwani kuna bwana mmjoa aliwahi niambia kuwa kila unapofactory sim inapunguza uwezo Wa kufanya kazi kwa 0.5 so ndo maana nikauliza mjumbe
 
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Mifano mingine ni KuRoot simu za version 6.0,7.0 nk. Kuzuia matangazo (ads), Udukuzi (hacking), Kupata sms za mpenz (spy).

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Sumsung galaxy grand prime plus internal gb 8 sd gb nane. Kila siku inajaa internal memory nawezaje kutumia sd card ili isisumbue?
 
Tafuta external memory ukipata ya kuanzia 4gb itakuwa poa sana. Kabla ya kununua install sd insight kweny simu kisha ifungue ukiona sd insight inasoma unkown hiyo usinunue.
Baada ya kuweka, vitu vyako hasa photo, music, video weka kweny hiyo external memory, hata camera yako i-set iwe inatunza picha huko, mitandao ya kijamii yote hakikisha vitu unavyodownload vinaingia kweny kweny external.
Pia download sd clear.
 
Nimeinstall gsm flasher tool kwenye pc yangu na niweka drivers za adb ziko ok, lakini nikijaribu ku connect na simu ya android inasema may be drivers not found. Natumia USB cable kufanya connection. Wat else should I do kucheza na hizi android phones ili niweze kuziflash and watever
Kuna driver zimemiss mkuu. Tafuta MT65xxx driver kisha install
 
Simu yangu aina ya infinix hot 4. Imeacha kabisa kudownload app yoyote. Inaandika download pending. Sijui shida mini? Tena ina sema some system functions my not work. Nikiangalia inaonyesha imejaa kwenye internal memory. Lakini ndani ina memory card GB 15 iko empty kabisa, nikitaka kuamisha app nashindwa nifanyaje?
 
Techno W3 Light nikiwasha data apps kama WhatsApp, Facebook, Jf, nk hazifunction wakati browsers zinafanya, ila nikitumia wireless zote zinafanya.
Nime cheki APN kila kitu kipo sawa, sijaweka data limit ila tatizo lipo palepale
 
Tafuta external memory ukipata ya kuanzia 4gb itakuwa poa sana. Kabla ya kununua install sd insight kweny simu kisha ifungue ukiona sd insight inasoma unkown hiyo usinunue.
Baada ya kuweka, vitu vyako hasa photo, music, video weka kweny hiyo external memory, hata camera yako i-set iwe inatunza picha huko, mitandao ya kijamii yote hakikisha vitu unavyodownload vinaingia kweny kweny external.
Pia download sd clear.
Ninawezaje kuset hivo vitu viingie kwa sd?
 
Back
Top Bottom