Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Huawei Y-535 ,, Inasema "sorry jamiiforum au opera mini is not responding" na inaacha kabisa kufanya kazi hasa kwa opera ndio kabisa mpk utoe betri , coz hata ukiizima bdo haizimiki, msaada pliz…!!
Tatizo dogo sana hili
Hakikisha Una nafasi ya kutosha ya memory kma huna futa baadhi ya vitu ili kuiachia simu kufanya kazi
 
Mkuu nimeomba msaada, simu yangu TECNO W4 ina matangazo mengi had kero , yaani nikiwasha data tu. Nayaondoaje?
 
Sawa nenda hapo settings kma ulivyoelekezwa weka off, utaikuta ipo on
Nimeenda Kuna Setting kulia kwake kuna .
.
.
Nikibonyeza hapo inaniandikia show system
Reset App preferences.chini ya Setting kuna
Babel fonts
Backup and restore
Boom player
Facebook nk msaada wako plz
 
Mkuu nimeomba msaada, simu yangu TECNO W4 ina matangazo mengi had kero , yaani nikiwasha data tu. Nayaondoaje?
Nimekuambia kuondoa matangazo ni malipo, utawalipa wenye apps za kuzuia matangazo na mimi kukufanyia kazi hyo nipigie
 
Mimi nahitaji ku-upgrade version ya Android. Nini nifanye?
Simu yangu ni S7 edge... Sahivi version iliyopo ni 6, mm nataka 7 Nougat.
 
Aisee simu yangu kila nkiconnect kwa PC inaonesha alama nyekundu pale kwa discs, sasa hata nkifuta vitu haipungui, inaonesha OMB of 4GB, nliformat simu, ikakaa siku 3 imeanza tena, kwahio siez eka chochote kwenye simu toka kwa PC
 
Back
Top Bottom