Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Mkuu Hapa bushi nilipo vodacom wamefunga 3G lkn baadhi ya smartphone zinashindwa kusaport 3G na ukiziweka 3G only zinakata kabisa network lkn simu hizi hizi zinazokata kusaport maeneo hayo ukitokanazo nakwenda maeneo mengine yenye 3G Zinasaport bila shida naomba msaada hapa tatizo litakuwa nini
Geographic location ndo tatizo
 
Nisaidiwe na Mimi simu yangu Whatsapp inasumbua ,mfano . Ninaweza kuona notification kwenye bar ya juu ,na nikufungua sioni zile messages ambazo napaswa kuzifungua.
 
Nisaidiwe na Mimi simu yangu Whatsapp inasumbua ,mfano . Ninaweza kuona notification kwenye bar ya juu ,na nikufungua sioni zile messages ambazo napaswa kuzifungua.
Soma hpa smatskills.blogspot.com
 
Nimekup msaada kak, huridhiki???
Kwa akili yako unaona umesaidia???. Usinilazimishe kupitia tatizo langu nipite kwenye ki-blog uchwara chako. Eleza unaelewa ,Mimi sikuomba msaada wa blog zinazojhusisha na masuala ya simu. I think now it's clear
 
Hpna mkuu, utaratibu upo hivi wadau waliomba kma kitu sikijui nielekeze mahali Pa mtu kukipata, kwahyo ndo nilichofanya, hyo sio blog yangu .
 
Nikisoma maswali ya Wadau humu, nagundua kumbe watu wengi humu ni Vilaza wa kiwango cha Rami.
 
Je kuna ukweli kuwa unapo factory sim I apunguza ubora Wa ufanyaji kazi kwa haraka plz nisaidie
 
Naomba unielekeze jinsi ya kupatumia hapa ,nakama je naweza nkatumia hii sehem Ku speed up Internet?
a4a934a25a0d3d63c3a3d4234ae80191.jpg
9466f4c118a418833e03942ca42e803b.jpg
a270d30bba1f732dae6ced86dfb9447c.jpg
 
Je kuna ukweli kuwa unapo factory sim I apunguza ubora Wa ufanyaji kazi kwa haraka plz nisaidie
Hapana, bali huongeza ufanyaji kaz kwa haraka.
Factory maaname umeondoa baadhi y data so itakuwa nyepes n spidi
 
Back
Top Bottom