Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

4eeb5cce690e2dd1a3920a8b08b206a2.jpg
Weka bundle, washa data
 
unasema unajua android alaf haphap nakuuliza nipe tofauti ya android na iOS unasema hili cyo tatizo hivi kutokujua jaman cyo tatizo?! natumiaje simu janja kama hata android cjui!? kuwa criaz mtoa mada usikariri kwamba tatzo lazima liwe hardware au software hata kutokujua tatzo ni nini nako ni tatizo keep calming bro
Huna haja ya kujua duka, wewe chukua unga pika ugali
 
Napoeka USB kwenye cm ang na kuingiza kwenye pot ya computer yoyote Simu haisomi zaid itaonesha kuchaj, ninachohitaji ni Android ang isome kweny PC ili nihamishe vitu kutoka kwenye cm angu kwenda kweny PC, nifanyaje?
 
Nataka kudownload subtittle kwenye movie kwakutumia smartphone nafanyaje mkuu
 
Jaman naomben msaada simu yangu techno y3 GPS location IPO disable na hata nikifanya enable bado inasumbua kuwa enable[emoji27] [emoji27]
 
Photo, Audio na Video (Auto downloaded) kwenye Whatsapp baada ya masaa kama 6 hivi huzikuti kwenye Album ya Whatsapp kwenye Gallery
 
Jaman naomben msaada simu yangu techno y3 GPS location IPO disable na hata nikifanya enable bado inasumbua kuwa enable[emoji27] [emoji27]
Ukiweka enable inaandikaje,? Je, inakuwa on? Kama haiwi on inakuwaje,? Kma inakuwa on inajizima baada ya muda gani?
 
Photo, Audio na Video (Auto downloaded) kwenye Whatsapp baada ya masaa kama 6 hivi huzikuti kwenye Album ya Whatsapp kwenye Gallery
Simu aina gani,? Unmaanisha hujifuta? Tatizo lina ma gani? Whatsapp ume update?
 
Tatizo dogo sana hili
Hakikisha Una nafasi ya kutosha ya memory kma huna futa baadhi ya vitu ili kuiachia simu kufanya kazi
Aisee ni hii kweli 100% simu ikiwa available 0B space unakuta app husika inaandika not respond force closed? Ukifuta chochote ikapatikana nafasi hata ya 1 mb space aiisee!! simu ina respond fasta. Big up bro.
 
Back
Top Bottom