Sasa unposema hizo software hamna, eee banaeee nisibishane na wewe huenda hujui chochote. Sasa tulia upeww elimuDarasa La Anti virus; lock simu yako hata , kuibiwaunaipata mapema, ingia humu.
hichi si ndo kichwa chako cha habari.
endelea acha nitoke kwenye uzi wako.
Moto e4Ukiingia tu andika jina LA simu yak, upate namna ya kuizuia simu hyo hata ukilala ndani nayo ukaicha nje.
Kumbuka hapa tuna lock simu ambayo unayo mkononi tu kwa ulinzi mkali wa anti theft.
Kama ulushaibiwa simu,unataka kuipata, pili unataka locations, na mambo mengine ambayo yatakugharimu utanipigi a 0753093869.
Huduma ninazotowa ni 100% Una prove na kureply papo hapo
Basi sisi hatushindwi chochote, (namtumia mzungu tu)TCRA peke yao ndio wanaweza hii kazi , wengine tutaishia kudanganyana tu hapa
PoaKam kawaida
Sawsawaa watu wamenikwaruza wakat hawan lolote harakat za mtu mweusi ni kukwamisha tuEmu Toa Hizo Tricks tuone Mbn Watu wanaaandika Simu tuuuu Alafu hmna Tricks zozote zinazotolewa, Emu Waprove Wrong watu sasa Ambao Hawaaamini unalosemaa
muanzisha thread nadhani inabidi urudi darasani tena ukarudie course yako maana from the begining nakuona hauko as good as ulivyojipamba na kichwa cha uzi wako ulivyokipa nakshi nakshi.... mtu anakwambia cmu inatumia simcard ya voda unamwambia habari za flashing mzee uko serious??.. unajua kwamba kuna tofauti kati ya FLASHING and UNLOCKING???... Flashing ni kufanya reinstalation of operating system na hii huwa haigusi some partitions zinazobeba simlock icpokuwa in some cases and in some kind of phone simlock can be touched but ni kwa wajuvi tu while UNLOCKING ni kuremove service providers restrictions in sim locked handsets... ELIMU HAINA MWISHO SO U BETTER GO BACK TO UR ANDROID CLASS.. dont take it personalUna fanya kitu inaitwa flashing kwa kutumia pc kma huna utaalmu waone mafund simu
muone fundi anayefanya flashing atakutatulia tatizo lako... some partitions kwenye operating system ya cmu yako zimecorrupt so operating system needs to be reinstalledTecno H6 camera inagoma inaandika unfortunately stopped
Mimi mmiliki wa thread ninajua Android tu kwahyo hata hilo jibu nimevamia tu maswala hyo yanayohitaji computermuanzisha thread nadhani inabidi urudi darasani tena ukarudie course yako maana from the begining nakuona hauko as good as ulivyojipamba na kichwa cha uzi wako ulivyokipa nakshi nakshi.... mtu anakwambia cmu inatumia simcard ya voda unamwambia habari za flashing mzee uko serious??.. unajua kwamba kuna tofauti kati ya FLASHING and UNLOCKING???... Flashing ni kufanya reinstalation of operating system na hii huwa haigusi some partitions zinazobeba simlock icpokuwa in some cases and in some kind of phone simlock can be touched but ni kwa wajuvi tu while UNLOCKING ni kuremove service providers restrictions in sim locked handsets... ELIMU HAINA MWISHO SO U BETTER GO BACK TO UR ANDROID CLASS.. dont take it personal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi namuangalia tu ad nmekosa cha kumwambia naona majbu yake ata ambaye ajasoma anaweza jbu...muanzisha thread nadhani inabidi urudi darasani tena ukarudie course yako maana from the begining nakuona hauko as good as ulivyojipamba na kichwa cha uzi wako ulivyokipa nakshi nakshi.... mtu anakwambia cmu inatumia simcard ya voda unamwambia habari za flashing mzee uko serious??.. unajua kwamba kuna tofauti kati ya FLASHING and UNLOCKING???... Flashing ni kufanya reinstalation of operating system na hii huwa haigusi some partitions zinazobeba simlock icpokuwa in some cases and in some kind of phone simlock can be touched but ni kwa wajuvi tu while UNLOCKING ni kuremove service providers restrictions in sim locked handsets... ELIMU HAINA MWISHO SO U BETTER GO BACK TO UR ANDROID CLASS.. dont take it personal
bonyeza home key na power key simultaneousMimi nina sumsing galax2 nashindwa kupiga screenshot