Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
- Thread starter
- #141
Tatzo ni internal storage kujaaKuganda kwa cm tatizo ninnini??
Sasa kusolve futa baadhi ya vitu
Tatzo ni internal storage kujaaKuganda kwa cm tatizo ninnini??
Peleka kwa mafund simuNliagiza refurbished S7 edge kutoka China had I sasa imezima na haijawaka ,,anaelewa utatuzi wake tafadhal...
Infinix note 4Kwa sasa ipi ni simu bora kwa bajeti ya lak 2?
HaaaahaaItakuwa anatumia ndoo za simu
Kwa vigezo gani?Infinix note 4
acha kudanganya uma ndugu yangu... naomba utuambie hapa atatumia nini kuweza kuitrack hyo cmu?... labda awe mganga wa kienyeji... pls explainYupo mtaalmu
Zipi hizo mkuu?Hii itakua ndio zileeee
Za wale wenye vimacho kama wa hapo kaliakooZipi hizo mkuu?
Hahaha! Sidhani mkuu, maana nimetest kila hatua iko poa. Mpaka tcra ile ya kutuma IMEIZa wale wenye vimacho kama wa hapo kaliakoo
Jamaa wamefanikiwa pia eneo Hilo...huwaambii kitu waharibifu wale.Hahaha! Sidhani mkuu, maana nimetest kila hatua iko poa. Mpaka tcra ile ya kutuma IMEI
Hii ilikuwa locked Verizon, nikafanya ku-unlock. Sijajua kama na wao wanaingizwa chakaJamaa wamefanikiwa pia eneo Hilo...huwaambii kitu waharibifu wale.
Labda unipe maujanja mengine nijiridhishe zaidiJamaa wamefanikiwa pia eneo Hilo...huwaambii kitu waharibifu wale.
Nipe jina lake kamili including model numberHii ilikuwa locked Verizon, nikafanya ku-unlock. Sijajua kama na wao wanaingizwa chaka