Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,860
- 12,291
Sasa kama kiongozi wa chama kitaifa anakiuzia chama chake mwenyewe magari mabovu, na chakavu kwa bei ya dukani ili awahi kukusanya mpunga wa kwenda kula bata Dubai na familia yake, huku akiacha chama hakina hata ofisi ya kujitegemea hauoni kuwa tuna wanasiasa wa ajabu sana nchi hii. Just imagine viongozi au kiongozi wa aina hii awe raisi wetu hali itakuaje!So wamewajengea mabalozi, Hakuna balozi aisie uswahilini