Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

Wazo lako ni zuri sana ila acha kuingiza uchama kwenye maendeleo off course pia hata kwenye maji wangeweza peleka huko vijijini

Lile Daraja naimani IPO siku utapita wewe ama ndugu Yako.
Hoja si kuwepo,maana ni mali ya watanzania wote,hoja yake kuwa kama taifa changa,vyema kuzingatia vipaumbele vya miradi ya kipaumbele ya walio wengi kwanza badala ya kuwana uoendeleo kimatabaka.
Tanzania yetu usambazaji maji ni 20% tu na hi ipo mijini vijijini hakuna maji,sababu bajeti yetu ni ndogo,usambazaji umeme ni 46% tu ,na hii ni kwa mijini na vijiji vya karibu na mijini,vijiji vingi bado havijafikiwana usambazaji umeme.
Nchi yetu 80% wapo vijijini na ajira kuu kwao ni kilimo,je kilimo leo inachangia kiasi gani? Ni 24% tu kutoka 65% mika ya 1967.,je kama yaifa kwann tuwekw kipaumbele kwenye sekta hiyo inayoajiri walio wengi ili kuinua kioato chao,kuinua pato la nchi,kuinua uchumiwa taifa?
Nchi kama vietnam uchumi wao unaendeshwa na uzalishaji wa zao la mpunga,na wamewekeza sana.Kwann sisi tulio na mazao zaidi ya 100 tusiwekeze huko badala ya daraja ambalo wanaopita pale ni namba ndogo sana na pia baso kuna mbafala wa barabara?
Tuna shule zetu nyingi vijijini,miundo mbinu yake zingine ni mbovu sana,madarasa yanavuja,sakafu zimezeeka,madarasa machache,walimu hawapandi amdaraja,hawana motisha,hawana nyimba wala ofisi,hawana kujiendeleza kitaaluma ,mwisho wake vijana wanafaulu kwenda sekondari hawajui kusoma nabkuandika,wakimaliza kidato cha nne 52% wanaishishi daraja la nne na zero ipi tuwekeze kwenye daraja la watu wachache wakati kuna vijana 52% hawafaulu waoatao 500000 wanabakia hawana cha kufanya na four isiyo na mpango.
Piga hesabu ya mika10 utakuwa idadi ya watu 5m hawana ujuzi,hawna ajira sitahiki na serrwkelai imewatelekeza ,je si walipa kodi?je ai watanzania kwann wasisaidiwe kwanza bafala ya daraja?
 
Basi tusijenge barabara au daraja lolote kokote tupeleke afya kijijini.

Omba Mungu akunyime vyote lakini asikunyime akili.
Uchambuzi wako si sahihi,uwekwzaji wa kijamii,vyema ukafanyika kwa matinki ya kioaumbele kusaidia walio wengi nankuonua uchumi kwa walio wengi ili kuondoa umasikini.
Kusema tusiwekeze hiyo si hoja ya busara.
Tujikite kuisaidia nchi kwa mawazo chanya yenye busara kwa nyanja mbalimbali ikiwemo kusaidia nchi hata kuoitia wafau wengine wa maendeleo mahali serikali inapokuwa haina uwezo
 
Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.

Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.

Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki na Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Huo ni Msaada wa Serikali ya Korea baada ya kumuona Rais wetu Makini Magufuli anachapa kazi ipasavyo ndiyo wakaona wasaidie kupunguza foleni pale Salender Bridge. Unajua sisi watu wa maeneo ya huku tunaotumia Salender Bridge huwa tunatumia masaa karibia manne wakati wa mvua kuvuka hapo Salender ukitokea city centre. Acha utopolo basi mkuu na sisi tusipate shida unajua huwa tunapoteza mafuta ya gari mengi sana hasa wakati wa mvua!!
 
Hoja si kuwepo,maana ni mali ya watanzania wote,hoja yake kuwa kama taifa changa,vyema kuzingatia vipaumbele vya miradi ya kipaumbele ya walio wengi kwanza badala ya kuwana uoendeleo kimatabaka.
Tanzania yetu usambazaji maji ni 20% tu na hi ipo mijini vijijini hakuna maji,sababu bajeti yetu ni ndogo,usambazaji umeme ni 46% tu ,na hii ni kwa mijini na vijiji vya karibu na mijini,vijiji vingi bado havijafikiwana usambazaji umeme.
Nchi yetu 80% wapo vijijini na ajira kuu kwao ni kilimo,je kilimo leo inachangia kiasi gani? Ni 24% tu kutoka 65% mika ya 1967.,je kama yaifa kwann tuwekw kipaumbele kwenye sekta hiyo inayoajiri walio wengi ili kuinua kioato chao,kuinua pato la nchi,kuinua uchumiwa taifa?
Nchi kama vietnam uchumi wao unaendeshwa na uzalishaji wa zao la mpunga,na wamewekeza sana.Kwann sisi tulio na mazao zaidi ya 100 tusiwekeze huko badala ya daraja ambalo wanaopita pale ni namba ndogo sana na pia baso kuna mbafala wa barabara?
Tuna shule zetu nyingi vijijini,miundo mbinu yake zingine ni mbovu sana,madarasa yanavuja,sakafu zimezeeka,madarasa machache,walimu hawapandi amdaraja,hawana motisha,hawana nyimba wala ofisi,hawana kujiendeleza kitaaluma ,mwisho wake vijana wanafaulu kwenda sekondari hawajui kusoma nabkuandika,wakimaliza kidato cha nne 52% wanaishishi daraja la nne na zero ipi tuwekeze kwenye daraja la watu wachache wakati kuna vijana 52% hawafaulu waoatao 500000 wanabakia hawana cha kufanya na four isiyo na mpango.
Piga hesabu ya mika10 utakuwa idadi ya watu 5m hawana ujuzi,hawna ajira sitahiki na serrwkelai imewatelekeza ,je si walipa kodi?je ai watanzania kwann wasisaidiwe kwanza bafala ya daraja?
Sasa unataka watoa msaada uwalazimishe msaada wao wapeleke kwenye maji!!?
 
Wao hawaji na proposal,wewe ndiye unaandika proposal nn kifanyike,ni jukumu lako kuwaelekeza wawekeze wapi kwenye kipaumbele ili kusaidia nchi yetu,si kweli wao ndiyo walioshinikiza sema ss yuliomba daraja la hivyo nao wakalibali
 
Msaada ulitolewa kwa ajili ya kupunguza foleni salender bridge kwa kuwa nao ubalozi wao hapa TZ wafaidike na msaada wao. Msaada ulikuwa specific kama misaada ya USA mkuu au hii ya COVID 19.
 
Uchambuzi wako si sahihi,uwekwzaji wa kijamii,vyema ukafanyika kwa matinki ya kioaumbele kusaidia walio wengi nankuonua uchumi kwa walio wengi ili kuondoa umasikini.
Kusema tusiwekeze hiyo si hoja ya busara.
Tujikite kuisaidia nchi kwa mawazo chanya yenye busara kwa nyanja mbalimbali ikiwemo kusaidia nchi hata kuoitia wafau wengine wa maendeleo mahali serikali inapokuwa haina uwezo
Hayo mawazo yenu kwamba huduma za kijamii kama afya na elimu ndio vipewe kipaumbele kwa sababu vinagusa wengi yana mapungufu makubwa. Kwanza ni udhaifu wa kutopata picha pana ya mahitaji ya jamii. Ungefanya analysis ya kina ungekubaliana na wengi kwamba matumizi ya daraja lile duchu la salender bridge lililokuwa likisababisha congestion kubwa sana, na kama ungetafuta trade-off in terms ya gharama za kiuchumi (upotevu wa muda kwenye foleni, mafuta, n.k) na gharama za kiafya (chronic stress zinazosababishwa na congestion ya magari, n.k) kulikuwa na uhitaji wa daraja lingine kubwa zaidi.

Pamoja na hayo daraja la Tanzanite ni huduma ya kijamii tosha maan watu watakaotumia hilo daraja watakuwa wamefanyiwa wepesi katika shughuli zao. Na nasema hayo nikiwa mtu ambaye pengine sitakuja kutumia hilo daraja maana siishi Dar, na hata nikija Dar mitaa hiyo ni nadra kwangu kufika.
 
Ungekuwa mkazi or mpitaji wa maeneo hayo hadi Mbezi Beach, hata wanaotokea Bagamoyo Road kupitia Kawe na Mbezi beach usingeandika usichokijua.
 
ushauri na kukubaliwa ushauri ni vitu viwili tofauti,sio kila ushauri unaweza kukubaliwa inategemea aliyekupa msaada pia amelenga nini na pia kuna wakati ukijifanya mjuaji sana unaweza kukosa vyote
Ni ukweli usiopingika kwamba huwa hii misaada inakuwa ma masharti yake, lakini nakuhakikishia kwamba serikali ikiweza kuelezea vipaumbele vyake sawasawa na kwa umakini wa kitaalamu na takwimu za kweli huwa donor wanakubali aidha kutoa zaidi au kubadilisha mawazo kutegemea na nia waliyo nayo.
 
hivi unafikiri wewe ndio wa kwanza kuwaza hivyo,si busara mtu mzima kuyasema hadharani kukataliwa mapendekezo yake,vingine ni busara tu huhitajika
 
Hivi vitu tunaita busara, vya kuficha ficha ndivyo vinasababisha taifa halieleweki linakoelekea wakati mwingine, kunakuwa na nia nyingine ovu attached to it. Ndiko hutokea such as EPA, IPTLs, Meremeta etc. Tufike mahali tubadilike mikopo, misaada, mikataba viwekwe wazi. Kama kweli ni kwa ajili ya maendeleo ya Taifa basi usiri usiwepo.
 
Basi tusijenge barabara au daraja lolote kokote tupeleke afya kijijini.

Omba Mungu akunyime vyote lakini asikunyime akili.
Hujaelewa ishu ni kulikua na ulazima wa kujenga daraja hapo?,kwa nini sealander isingetanuliwa na barabara ya ali hasan mwinyi itanuliwe
 
Sio kweli, fikiria vizuri na utueleze kama umeishawahi kushuhudia daraja la Salendar likijifunga nini huwa kinatokea kwa jiji la Dar. Usiwaze kwa kufikiria njaa, waza kwa tija za kiuchumi. Kuna wakazi wa Dar huwa wanatumia zaidi ya saa 12 kuvuka eneo hilo tu
Sasa badala ya kujenga daraja la baharini kwa nini wasingejenga daraja kubwa hapo sea lander
 
Hayo mawazo yenu kwamba huduma za kijamii kama afya na elimu ndio vipewe kipaumbele kwa sababu vinagusa wengi yana mapungufu makubwa. Kwanza ni udhaifu wa kutopata picha pana ya mahitaji ya jamii. Ungefanya analysis ya kina ungekubaliana na wengi kwamba matumizi ya daraja lile duchu la salender bridge lililokuwa likisababisha congestion kubwa sana, na kama ungetafuta trade-off in terms ya gharama za kiuchumi (upotevu wa muda kwenye foleni, mafuta, n.k) na gharama za kiafya (chronic stress zinazosababishwa na congestion ya magari, n.k) kulikuwa na uhitaji wa daraja lingine kubwa zaidi.

Pamoja na hayo daraja la Tanzanite ni huduma ya kijamii tosha maan watu watakaotumia hilo daraja watakuwa wamefanyiwa wepesi katika shughuli zao. Na nasema hayo nikiwa mtu ambaye pengine sitakuja kutumia hilo daraja maana siishi Dar, na hata nikija Dar mitaa hiyo ni nadra kwangu kufika.
Ishu ni kua kuna ulazima gani wa kujenga daraja la baharini kwa nini wasitanue salenda na ali hasan mwinyi tena kwa pesa hiyo wangeweza kutanua upana mkubwa zaidi
 
Back
Top Bottom