Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

Day waka asipofanya kazi leo atakula msiba!! Unafikiri wanapokea mwisho wa mwezi kama wewe ndugu

Kukaa siku1 off haitakufanya ufe kwa njaaa vitu vingine ni kuweka league na serikali ambavyo havina maana wee tii amri bhs ndomana mama kasema j3 na ijumaa angesema week nzima ingekuaje??
 
Back
Top Bottom