Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

Nimepata taarifa kutoka kwa wenzangu kwamba kuna taarifa kutoka polisi inasema watu waachwe wafanye biashara.
 
Katika harakati za kupinga pinga. Yaanini ilimradi tu ionekane kuna dosari. Hamjawahi kuweka mema,ni utopolo tu. Upumbavu tu yani.
Stori ya uongo ila nyumbu kama mtoni huwa wanafuata aliembele bila kujali
 
hili shetani limekufa lakini bado mauza uza yake yapo mara watu wafe mara wapigwe wamzike haraka sana watu tuishi kwa raha
Mkuu punguza chuki kwa marehemu kwa afya ya mwili wako, mana kwa sasa aongezi wala apunguzi chochote kwako.
 
Ni sahihi kabisa huyu ni kiongozi mkubwa kwa taifa letu.... Sio busara kufanya biashara wakati mwili unaagwa kunaweza kutokea tafurani uhalifu, wizi, kwasababu kila jua kuna kauli ya kufa kufaana njia zinakuwa na msongamano kwaiyo ni vizuri kuheshimu mamlaka na alikuwa ni kiongozi wa wote chadema CCM cuf na vyama zingine....

Binafsi leo nimefunga office yangu na watumishi wangu wapo mapumziko kuomboleza japo sipo dar wala dom!!! Itifaki imezingatiwa
 
haukuwa uzushi ni miss communication kwenye jeshi La polisi
walipita awamu ya kwanza na defender ya ffu wakiuliza kwa nini tumefungua biashara, ndo watu tukafunga na kuondoka,taharuki ilipozidi wakapita askari na pikipiki kuhimiza watu watulie na wafungue biashara zao.
Anyway mimi sipo Kariakoo ila nimefungua ofisi saa nne asubuhi na nimepita mitaani sehemu nyingi tu wamefungua.
 
Anyway mimi sipo Kariakoo ila nimefungua ofisi saa nne asubuhi na nimepita mitaani sehemu nyingi tu wamefungua.
saa nne ofisi zilikuwa wazi timbwili limeanza saa tano na dakika zake. walipita mara ya kwanz watu wakapuuzia wakijua ni utaratibu wao kupita.

ila waliporudi ndo wakarudi na hilo swali la kwa nini biashara zipo wazi
 
Back
Top Bottom