Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Watu wanawalalamikia hata Biscuit hawapewi, na wao wanakiri...
Gari hazina AC na wakiulizwa wanasema kweli
Matatizo ni mengi gari lazima zitakosa wateja...

Alikuja vizuri kashindwa maintain ubora wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mdao nimeona kawambiwa wawauliza madereva biscuit wanazipeleka wapi, manake mabox yanaonekana ila abiria hawapew
 
Na hapa basi namba mbili (ya mbele) ikiwa imesimama ili kutoa msaada kwa basi namba moja ambalo limepaki kutokana na kupata hitilafu kabla ya kufika mizani ya Usagara

Yawezekana uongozi wa kampuni hii hauna taarifa kama hizi maana jamaa kwa jinsi walivyokuwa wakitoa huduma zao sidhani kama kweli wahusika wakuu wana taarifa hizi

DAR LUX ni moja kati ya makampuni bora kabisa kuwahi kutokea katika sekta hii ya usafirishaji wa abiria so wakiweza kuondoa hizi kasoro ndogo ndogo hasa za uchakavu wa mabasi yao bado wataongoza katika sekta hii kwa mda mrefu sana.View attachment 1282156
Vigezo gani vya ubora ulivyothibitisha
 
Juzi Bus Dar lux ya Dar Arusha Asubuhi saa 12:30 wametuweka ofisini kwao mpaka saa 2 asubuhi then wakaja kutuambia gari Bovu haliwezi kwenda, tunawaletea Bus jingine lakini sio Luxury ila tutarudisha some amounts.

Likaja Bus moja Bovu kupata kutokea Dunia, linaitwa Mbazi. Kwakua watu tulikua na haraka tukapanda tu. wakarejesha elfu 7 kutoka kwenye 40,000.

Kufika njiani tukakuta Dar Luxy ya Nairobi imezingua, wako nje. Baada ya kutoka mombo tena Dar lux mbili tena zimezingua.

Najua hii ni Biashara na ina changamoto zake But jamaa gari zao zimekua mbovu sanaaa
There is a serious problem. Tar 1 nimepanda gari ya kutoka Dar kwenda Nairobi ambayo unaondoka saa 12 kasoro ila mpaka saa 2 kasoro hatujaondoka, sababu ni gari uliyokuwa isafiri umepata itilafu hivyo bado wanaishughulikia. Tukapanda nyingine kwa ajili ya kutufikisha pale gereji yao. Kufika pale tumesimamama kidogo hakuna kitu ikavlbidi tuondoke na hiyo hiyo.

Juzi nimekata tena ya kutoka Arusha to Dar ambayo inasafiri jana tarehe 8, kufika saa tatu usiku natumiwa ujumbe kuwa gari imepata dharura hivyo haitasafiri, badala yake tutapanda Semi Luxury.
 
Sibonike
Kuagiza Gari nyingi kwa wakati mmoja kweli kuna risk ya magari kuchoka kwa wakati mmoja, lakini kumbuka haya mabasi bado ni mapya kabisa, kwa muda yaliyoagizwa

Dar lux, mpaka Leo namchukulia no mfanya biashara asiye serious, na kuna uwezekano kuwa haijui kama hayupo serious

Huwezi kuwa,Na businesses plan kubwa kama Ile, halafu ukategemea Basi za kichina ndio ziwe main fleet, na uzuri kuna mfano mingi tu, alikuwepo sumry na bas za Malaysia akafeli, Tahmeed alijatibu Sana na zongtong ndo zile zikawa zinazingua moto, nadhan Kutokana na excessive wiring due specification, (TV kila seat)
Dar lux ameingia katika muda ambao Ana reference ya kutosha juu za basi hizo na matatizo yake

Kabla ya kupoteza kabisa trust na base ya wateja, angejaribu kufanya u turn, anunue Scania kama mwenzie Tahmeed, ni ghali Sana ila zitarudisha heshima yake mapema Sana.
ahsante sana kwa comment fupi yenye kueleweka ...
 
New Force ni kiwanda cha Mabasi cha Zongtong kule China hayo mabasi unayoyaona yapo katika majaribio ndo maana wao wanayo mengi na wakiyatumia miezi kadhaa wanawauzia watz kwenye mtaji mdogo wao wanaletewa mapya, na ndo maana unaona mabasi yao ni mazuri muda wote
Huyu New force wanamuita muwekezaji maana gari likienda safari likarudi kesho yake haliamki had service zinaenda zingine huy ndo anajua nn anafanya
 
Siyo wiring, Mimi nadhani joto la ukanda wa Pwani linasababisha barabara inakuwa hot muda wote na kusababisha mabasi kuwaka moto. Mfano Barabara ya Mbeya Moro kuna maeneo hali ya hewa huwa baridi hiyo husaidia magari ya masafa marefu kupozwa haswa matairi
Sibonike
Kuagiza Gari nyingi kwa wakati mmoja kweli kuna risk ya magari kuchoka kwa wakati mmoja, lakini kumbuka haya mabasi bado ni mapya kabisa, kwa muda yaliyoagizwa

Dar lux, mpaka Leo namchukulia no mfanya biashara asiye serious, na kuna uwezekano kuwa haijui kama hayupo serious

Huwezi kuwa,Na businesses plan kubwa kama Ile, halafu ukategemea Basi za kichina ndio ziwe main fleet, na uzuri kuna mfano mingi tu, alikuwepo sumry na bas za Malaysia akafeli, Tahmeed alijatibu Sana na zongtong ndo zile zikawa zinazingua moto, nadhan Kutokana na excessive wiring due specification, (TV kila seat)
Dar lux ameingia katika muda ambao Ana reference ya kutosha juu za basi hizo na matatizo yake

Kabla ya kupoteza kabisa trust na base ya wateja, angejaribu kufanya u turn, anunue Scania kama mwenzie Tahmeed, ni ghali Sana ila zitarudisha heshima yake mapema Sana.
 
Arusha Mbeya kuna bus inaitwa Hajiz ni hatari
Chuma zipo nyingi za uhakika
Mza to DSM Kuna Ally's, happy nation na tungis

DSM to ARS
Kaprikon MasterCard, BM, Extra, marangu

MZA to ARS
Asante rabi, mgamba, kaprikon

TNG to ARS
Ally's star, Frey's coach,

ARS to DOM
Machame luxury, Kimbinyiko, Shabiby

ARS to MBY
Arusha express hakuna mfano

NB: ukitaka kufika mapema ukiza gari n injin gan ukisikia scania hata like na namba ABK we panda utawafika zipo Arusha express namba A lakin baba usiombe ngoma halisomi speedometer jamaa wanatumia simu n hatar wale jamaa
 
Mkuu JAJA NA LINYAMA wameshindikana hao ni vichaa.
Polen watu wa mwanza, nyanda za juu kusini kumenoga na new force DPK 712 chini ya usimamizi wa Linyama, DPK 715 wanamwita Jaja brazilian mtu hatar sana, DPK 711 mtu mbaya wa kuitwa ustadh Rama mbele kama tai, hizo scania zote zilishanyoosha mikono kwa mchina. Ni mwendo wa honi tu
 
Back
Top Bottom