1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,144
- 14,245
Safi mkuu1kush africa,
Allys kuna 670 na 673 dqz ukizipata hizo ni hatari ...happy nation kuna drm ,drf ni moto
Safi mkuu1kush africa,
Allys kuna 670 na 673 dqz ukizipata hizo ni hatari ...happy nation kuna drm ,drf ni moto
Huyu New force wanamuita muwekezaji maana gari likienda safari likarudi kesho yake haliamki had service zinaenda zingine huy ndo anajua nn anafanya
Samahani kuingilia. Naomba utusaidie ili na sisi tusijepigwa bank maana umenistua kidogo kusikia mtu kapigwa matukio na bank.
Kwahiyo wananzengo wakiona macropolo wanajua scania.Marcopolo wanatengeneza bodi za magari,
Kwa hiyo engine yaweza kuwa ya Scania au tofauti ila body ikatengenezwa na Marcopolo.
Zimekufa kmpuni kubwa kina mohamed trans,scandinavia,nk biashara ya mabus ni changamoto Sana unaweza manage gari chache si zoteDar lux ni kampuni kubwa sana, halafu jamaa wapo smart hata ofisi zao, namna ya ukataji tiketi, na huduma nyinginezo kusema kampuni inaelekea kufa ni oungo wangekuwa hawajazi basi siku mbili nyuma
Baba LaoMdomo bakuli,
watapita kama wenzao wakina scandinavia wakongwe wa game ndio chaguo langu mnapenda kupanda hayo box wakati wakina kisbo wapoView attachment 1282290
Kwa taarifa yako Mabasi haya mengi ni mabovu...sijui shida ni nini? Ni mazuri, yenye mwonekano mzuri, Ofisi zao ni za kimataifa lakini ubora wa magari yao ndo kizungukuti..
Wameambiwa wajirekebishe otherwise inaelekea kufa
kama mwanaume unaetaka uhakika na safari panda kisbo ikianza safari imeanza achana na hayo boxAsee mmeniokoa maana nlitaka kupanda hyo. Ngoja niwahi marangu au extra
Haaahaa. Wee Acha tu! Walitupa fidia ya wali Maharage Singida. Tungis naliogopa Bus zuri Ila wanakimbia Sana.Inanambo, Pole mkuu, hiyo siku mm nlipanda Tungi's express,,
Tuliwaacha mkiwa mnashangaa shangaa [emoji3][emoji3][emoji3],, pole sana mkuu,,
Dar Lux hamna kitu kabisa,,
Sema nn abiria wabishi,, pamoja na hizo kasoro lakini bado wanaenda,