Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,020
Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimesindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar Lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo zimesababisha mabasi yote kuchelewa kuondoka katika muda muafaka!!
Basi namba moja ambalo ni Higer lilikuwa na tatizo la betri mbovu na basi namba mbili ambalo ni Marcopolo limeshindwa kupanda kilima cha kutokea Stendi ya mabasi ya Nyegezi kiasi cha kufikia kushusha abiria wote!!
Dar Lux wajipange upya la sivyo yatakuwa yale yale kama ya PRINCESS MURO!!