Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Wiki hii,hapo gari ya Kahama ilikuwa mbovu, abiria wakafaulishiwa kwenye Fester ambayo ni ordinary level. Abiria wakagoma maana walikata semi luxury.

So ikabidi gari bovu kutengenezwa na safari ya kwenda Kahama ikaanza mchana.

Ni kampuni nzuri, lakini inabidi afanye service za uhakika.
 
Attachments

  • FB_IMG_1575652637056.jpg
    FB_IMG_1575652637056.jpg
    28.4 KB · Views: 12
Biashara ya mabasi TZ ina changamoto nyingi sana, makampuni mengi ya mabasi yaneshajifia zamani, Dar Lux iko njiani kwenye kifo cha kawaida
 
Mdomo bakuli, Na Dar express utawaweka wapi? Dar express wame maintain kampuni kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu sana.nadhani kwa bongo hii labda tahmeed na Kilimanjaro wanafuatia ingawa na Dar lux pia wako vizuri.
 
Wiki hii,hapo gari ya Kahama ilikuwa mbovu, abiria wakafaulishiwa kwenye Fester ambayo ni ordinary level. Abiria wakagoma maana walikata semi luxury.

So ikabidi gari bovu kutengenezwa na safari ya kwenda Kahama ikaanza mchana.

Ni kampuni nzuri, lakini inabidi afanye service za uhakika.
Note: hio gari frester sio ordinary ni semi luxury ila tu kuna vitu imelack ambavo dar lux inavo mfano usb ports, ac panel, etc, na walikataa sababu hio gari waliita chafu infact haiendani na dar lux [emoji23][emoji23][emoji23] so ikabidi gari ilotoka bukoba ndo igeuze kurudi kahama
 
Ni kweli ndo maana nimejaribu kuwakumbusha maana kwa mie linapokuja suala la kusafiri huniambii chochote kuhusu haya mabasi ya DAR LUX ila kwa mda sasa nimeona kila ninaposafiri nayo kunakuwa na matatizo madogo madogo na abiria wanalalamika sana!! Tunaomba sana yasije kutokea kama yale yalotoea kwa MURO.
Changamoto hazikosi kwenye kila sekta au kifupi kwa mwanadamu. Ila zinaonekana sana kwenye kampuni kubwa zenye vitendea kazi vingi na wafanyakazi wengi. Kwa uongozi ni kuzibaini na jinsi ya kuzikabili ndiyo taswira anayoipata mteja.
 
mdomo wako tayar bakuli una jambo hata la kusema bhasi dar lux ni taasisi nyambafu
 
Back
Top Bottom