Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Na bus nyingi za dar lux zinazosumbua ni zile marcopolo na higer......ila yutong zile ziko vizuri sana barabarani.....kama vipi ahamie tu kwenye yutong moja kwa moja au zhongtong
Haiger ni moto mwingine injini yake hata scania zinapata tabu kuitafuta barabarani ......u tong zinawah sana kuchoka na hazihimilo safari za mida mrefu
 
Haiger ni moto mwingine injini yake hata scania zinapata tabu kuitafuta barabarani ......u tong zinawah sana kuchoka na hazihimilo safari za mida mrefu
Yaa ni kweli kabisa....ila kwa hadhi aliyokuwaga nayo dar lux alipaswa kutoa gar mbili kwenda mwanza...mbili mbeya...mbili kahama...mbili nairobi na nyingine arusha..ila kwajinsi anavoshindwa kuhudumia magari yake nadhani sasa hivi ataondoshwa na ushindani
 
Tumpe muda kidogo labda atajirekebisha
 
Hata Shabiby anayo mabasi ya hivyo mbona hayaungui?
Shabiby hajawahi kuwa na zhongtong, zilizokuwa zinaungua ni zhongtong

Halafu mabasi ya kichina huonesha udhaifu yanapokuwa stressed to the max, shabiby, kama abood tu hawana route ndefu, wao majanga ya basi za kichina hayawapati sana.
 
Mbeya, Tunduma, Njombe pagumu kwa mchaga kutoboa route zimejaa wazawa kwa % kubwa
 
kwamba mabasi mawili yakiwa na kasoro kampuni inaelekea kaburini
Kwako hii haitoshi kuona ni tatizo?

Wabongo tuna matatizo sana, kuna wakati tunawalaumu Watoa huduma kumbe hata Wahudumiwa wenyewe hatujielewi.
 
Kweli kampuni inakufa kifo kibaya sana. Inakufa kibudu kabisa. Ilianza vizuri sana, wakabweteka. Wana wafanyakazi jeuri, sidhani kama mwenye gari hizo ni jeuri kama walivyo hao vibarua wake. Kwaheri Dar Luxy, lala salama kuzimu.

Painful truth
 
Juzi Bus Dar lux ya Dar Arusha Asubuhi saa 12:30 wametuweka ofisini kwao mpaka saa 2 asubuhi then wakaja kutuambia gari Bovu haliwezi kwenda, tunawaletea Bus jingine lakini sio Luxury ila tutarudisha some amounts.

Likaja Bus moja Bovu kupata kutokea Dunia, linaitwa Mbazi. Kwakua watu tulikua na haraka tukapanda tu. wakarejesha elfu 7 kutoka kwenye 40,000.

Kufika njiani tukakuta Dar Luxy ya Nairobi imezingua, wako nje. Baada ya kutoka mombo tena Dar lux mbili tena zimezingua.

Najua hii ni Biashara na ina changamoto zake But jamaa gari zao zimekua mbovu sanaaa
Jambo kama hili hunikera,safari nzima nakuwa kama Mateka anayesafirishwa.
 
Back
Top Bottom