Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Tatizo la kukariri majina ya mabasi..Kampuni zote zinapata changamoto za kufanana.Mimi basi napanda kwa kufahamu Dereva ni mstaarab au kichaa..Usalama wa kufika.
Nikipanda basi dereva ana overtake hovyo safari ijayo sipandi gari ya kampuni hiyo.
 
Pole sana mkuu nafikiri hawa jamaa hawampi taarifa hizi boss wao, na kama kweli wanamwambia basi kutakuwa na tatizo kubwa sana.
 
Hata mie naanza kufikiri kufanya kama wewe natafuta basi mbadala kati ya Ally's na Tungis
Nilishaachaga kupanda haya mabasi na sitapanda tena ... Mwanzo ilikuwa huduma bora na location ya terminal yako lakini siku hizi hata hapo Shekilango wamekuwa hovyo sana.

As long as kumekuwepo na ongezeko la bus terminal nje ya Stand ya Ubungo, then DAR LUX waendelee tu kunisubiri
 
t blj,
Kuingiza bus nyingi kwa wakati mmoja na zinazeeka wakati mmoja. Hapo kati hakuna mpya zimekuwa zikiingizwa. Ndiyo poor business plan. Life span ya ma bus husika inajulikana.
Wakati mwingine, vyema kuyauza baadhi kabla hayajachoka Kabisa na eventually unatengeneza succession plan ya ma bus. It needs a lot of planning
Sibonike
Kuagiza Gari nyingi kwa wakati mmoja kweli kuna risk ya magari kuchoka kwa wakati mmoja, lakini kumbuka haya mabasi bado ni mapya kabisa, kwa muda yaliyoagizwa

Dar lux, mpaka Leo namchukulia no mfanya biashara asiye serious, na kuna uwezekano kuwa haijui kama hayupo serious

Huwezi kuwa,Na businesses plan kubwa kama Ile, halafu ukategemea Basi za kichina ndio ziwe main fleet, na uzuri kuna mfano mingi tu, alikuwepo sumry na bas za Malaysia akafeli, Tahmeed alijatibu Sana na zongtong ndo zile zikawa zinazingua moto, nadhan Kutokana na excessive wiring due specification, (TV kila seat)
Dar lux ameingia katika muda ambao Ana reference ya kutosha juu za basi hizo na matatizo yake

Kabla ya kupoteza kabisa trust na base ya wateja, angejaribu kufanya u turn, anunue Scania kama mwenzie Tahmeed, ni ghali Sana ila zitarudisha heshima yake mapema Sana.
 
Hakuna ajabu katika mambo haya
Tumeshuhudia Scandinavia express
Tunashuhudia Dar express
Hakuna ajabu kabisa
 
Mmmh!! Mbona huku Mwanza sie ndo tunawapiga sana wakuja kama wachagga na wapare!!? Au baba yetu ni Msukuma wa wapi?
Definition ya wasukuma washamba mie naiangaliag kwa baba yangu!ht uwe umesoma vip bado wanaushamba sana...ukitaka kumpiga msukuma rahisi zaidi kuliko wapare!wanaamni watu kwa haraka sana!
 
Kweli mkuu! Ndo maana unaona tunajaribu kuwastua waamke usingizini kama wamejisahau.
Mdomo bakuli, Ila hawa jamaa ni moja ya kampuni zenye ofisi nzuri sana... Ukiingia ofisi zao kama pale dar unaweza usidhanie kama ni ofisi za kampuni ya mabasi...
 
Hakuna ajabu katika mambo haya
Tumeshuhudia Scandinavia express
Tunashuhudia Dar express
Hakuna ajabu kabisa
Ha dar express ana basi Mpya sasa hivi, Scania 95 kama sikosei bodi ya Kenya,
Kama sikosei pia dar express ni kampuni kongwe Sana kwa sasa kwenye usafirishaji wa abiria
 
Mmmh!! Mbona huku Mwanza sie ndo tunawapiga sana wakuja kama wachagga na wapare!!? Au baba yetu ni Msukuma wa wapi?

Mimi toka nakua had utu uzima huu dingi ni mtu wa kupigwa matukio tu...!
Tena matukio manene..two months ago kaenda crdb bank..nimejaribu kumsaidia kila mtu anasema ni uzembe wa dingi yako bas nakuwa mpole!kapigwa tukio la ajabubsan crdb!
 
Back
Top Bottom