Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,595
- 1,863
kama mwanaume unaetaka uhakika na safari panda kisbo ikianza safari imeanza achana na hayo box
Kisbo hiyo kila mara naikuta imefia hapo gairo[emoji1] ila kuna moja ni kifaru asee
kama mwanaume unaetaka uhakika na safari panda kisbo ikianza safari imeanza achana na hayo box
LATRA na TRAFIC waingilie Kati. Safari za mbali jinsi hii Mimi naona si Sawa Basi likifika ligeuze. Walipumzishe wafanye service liondoke Kesho yake. Basi zianze Safari zikiwa Fresh na wafanyakazi kama Drivers.Umesema kwel..juzi nimekutana nalo nikajiuliza maswal mob sana mbona muda huu?!duh .!nadhan ht jana limelate kutoka dar !
Hahahaha [emoji23]Haaahaa. Wee Acha tu! Walitupa fidia ya wali Maharage Singida. Tungis naliogopa Bus zuri Ila wanakimbia Sana.
Off Comments. Watu wanajadili kuhusu kuokoa maisha ya abiria wee waleta Chuki zako za Kisiasa🙉Ni kama Chadema kampuni inakoelekea.
Mabasi yako mengi kama ilivyo kwa vyama vya siasa.Tulikuwa na NCCR enzi za Mrema na tulikuwa na Scandinavia enzi za akina Sumaye.
Lakini vyote hivyo vimetoweka lakini maisha yanaendelea.
Off Comments. Watu wanajadili kuhusu kuokoa maisha ya abiria wee waleta Chuki zako za Kisiasa🙉
Kichwa kimejaa makamasi tu..Mdomo bakuli,
WASUKUMA mtaacha lini ushamba?
Huko Mwanza yes wanaleta magari mabovu kwakuwa wanajua ninyi mnapanda na mifugo, hamjaoga, wali kwenye malboro etc kwahiyo KAMPUNI IPO IMARA NA INA MAGARI MAZURI KAMA NDEGE KWENDA KILIMANJARO NA ARUSHA.
MAGARI mazuri yanakwenda kilimanjaro na Arusha kwakuwa kule kuna ustarabu sana, na ndio maana JIWE anawachukia wachagaa sana
Usiharibu biashara za watu
Frester pamoja na kuleta mapya lakini bado shida tu.
Yaani mfano linaondoka kesho kutwa unakuta leo limeshajaa hivyo hupati nafasiInajaza siku nyuma [emoji23][emoji23][emoji23] umenipiga tobo hapa sijaelewa
...Raha ya Ubinadamu ni kutofautiana [emoji16]Mie nimemuelewa kwamba mabasi yanajaza na kila siku ukibahatika unaambulia siti za nyuma tu.
Kaa chini na mzee mpe ABC za town asipigwe tena , mbona sie dingi zetu,mpk uncle ni wasukuma tena wa huko Ibadakuli ila hawapigigwi matukio kama mzee wetu...Mimi toka nakua had utu uzima huu dingi ni mtu wa kupigwa matukio tu...!
Tena matukio manene..two months ago kaenda crdb bank..nimejaribu kumsaidia kila mtu anasema ni uzembe wa dingi yako bas nakuwa mpole!kapigwa tukio la ajabubsan crdb!
Hiv n HOWO nn ??Dar lux nahisi ameingia kwenye semi View attachment 1282804
Ndicho waliakipanda si kwangu tu..ni watu wengi sanaadrenaline,
na sasa wanavuna walichopanda