Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Inajaza siku nyuma [emoji23][emoji23][emoji23] umenipiga tobo hapa sijaelewa
Mie nimemuelewa kwamba mabasi yanajaza na kila siku ukibahatika unaambulia siti za nyuma tu.
Siku 1 nyuma![emoji28]
Alimaanisha kuwa abiria wanaokata tiketi wanajaza gari siku moja nyuma kabla ya siku ya safari. Mfano wanaosafiri leo, wamekata tiketi tangu juzi.

Mabasi mazuri yanajaza abiria mapema kabla ya siku ya safari.

Mimi nikitaka kukata tiketi kama nataka kusafiri siku ya jumapili, nitaenda kukata tiketi siku ya ijumaa.
 
Juzi Bus Dar lux ya Dar Arusha Asubuhi saa 12:30 wametuweka ofisini kwao mpaka saa 2 asubuhi then wakaja kutuambia gari Bovu haliwezi kwenda, tunawaletea Bus jingine lakini sio Luxury ila tutarudisha some amounts.

Likaja Bus moja Bovu kupata kutokea Dunia, linaitwa Mbazi. Kwakua watu tulikua na haraka tukapanda tu. wakarejesha elfu 7 kutoka kwenye 40,000.

Kufika njiani tukakuta Dar Luxy ya Nairobi imezingua, wako nje. Baada ya kutoka mombo tena Dar lux mbili tena zimezingua.

Najua hii ni Biashara na ina changamoto zake But jamaa gari zao zimekua mbovu sanaaa
 
Mwmabie amwone abood ampe mawili matatu jinsi Y kuendesha kampuji za mabasi
Abood hawezi kuwa na msaada kwa dar lux, alipo abood ni hot cake kwa biashara ya basi kwa maana ya , route fupi, na very busy,
Kwa route ya dar Moro ambayo ndo msingi wa biashara ya abood, Hakuna basi inakaa barabarani Zaid ya masaa manne mfululizo! Hii inampa muda mwingi sana wa kuziangalia na kufanya maintanace basi zake

Hiyo dar lux ikiwashwa mwanza inakuja kuzimwa dar usiku Sana na kesho Tena, Kiufupi unahitaji team compitent Sana kumaintain Gari ya namna hiyo
 
Back
Top Bottom