Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Mkuu mie ni mdau sana wa hii kampuni nimekuwa mteja wao kwa kipind kirefu sana kwahyo inapotokea mpaka nimeamua kutoa la moyoni ujue kuna jambo sijakurupuka na ndio maana nimetoa kama angalizo ili wahusika wajue cha kufanya.
Nlipenda sana kusafiri na darlux tajiri ndo halipi vizuri madereva, hafanyi service. Huweziamini hizi gari zinasafiri dar mwanza hazina spareture hazina service, nishawahi kulala igunga na dodoma sababu ya ubovu wa hizi basi
 
Dar lux ni kampuni kubwa sana, halafu jamaa wapo smart hata ofisi zao, namna ya ukataji tiketi, na huduma nyinginezo kusema kampuni inaelekea kufa ni oungo wangekuwa hawajazi basi siku mbili nyuma

Vp bado ipo?
 
Ina maana kuna ajali mbaya hapo
Bus linashindwa kupanda kilima kidogo sasa ikifika kwenye mteremko
Yajayo yanatisha, kama polisi hawadhibiti magari kama haya basi tutakuwa tunahesabu maiti kila leo
 
Back
Top Bottom