Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Mkuu JAJA NA LINYAMA wameshindikana hao ni vichaa.
FB_IMG_1566223755560.jpeg
 
ARUSHA EXPRESS ile mashine iko safi japo namba A
Chuma zipo nyingi za uhakika
Mza to DSM Kuna Ally's, happy nation na tungis

DSM to ARS
Kaprikon MasterCard, BM, Extra, marangu

MZA to ARS
Asante rabi, mgamba, kaprikon

TNG to ARS
Ally's star, Frey's coach,

ARS to DOM
Machame luxury, Kimbinyiko, Shabiby

ARS to MBY
Arusha express hakuna mfano

NB: ukitaka kufika mapema ukiza gari n injin gan ukisikia scania hata like na namba ABK we panda utawafika zipo Arusha express namba A lakin baba usiombe ngoma halisomi speedometer jamaa wanatumia simu n hatar wale jamaa
 
Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimesindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar Lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo zimesababisha mabasi yote kuchelewa kuondoka katika muda muafaka!!

Basi namba moja ambalo ni Higer lilikuwa na tatizo la betri mbovu na basi namba mbili ambalo ni Marcopolo limeshindwa kupanda kilima cha kutokea Stendi ya mabasi ya Nyegezi kiasi cha kufikia kushusha abiria wote!!
Dar Lux wajipange upya la sivyo yatakuwa yale yale kama ya PRINCESS MURO!!View attachment 1282151
NDUGUUUUUU NYIE MKIONA POST ZA AJALI NDIO MNAULIZAGA NA PICHA PLS AMA CHANZO CHA AJALI

SASA KAMA WANAREKEBISHA VYANZO VYA AJALI HAKUNA KAMPUNI ITAKUFA HATA WEWE UNAENDA HOSP KUPIMWA UKIUMWA SEMBUSE HAYO MAGARI KATENGENEZA BINADAMU

KUWA.MPOLE M NIKIONA WAMEWAHI TATIZZO NAMSHUKURU MUNGU MKUU
 
Juzi Bus Dar lux ya Dar Arusha Asubuhi saa 12:30 wametuweka ofisini kwao mpaka saa 2 asubuhi then wakaja kutuambia gari Bovu haliwezi kwenda, tunawaletea Bus jingine lakini sio Luxury ila tutarudisha some amounts.

Likaja Bus moja Bovu kupata kutokea Dunia, linaitwa Mbazi. Kwakua watu tulikua na haraka tukapanda tu. wakarejesha elfu 7 kutoka kwenye 40,000.

Kufika njiani tukakuta Dar Luxy ya Nairobi imezingua, wako nje. Baada ya kutoka mombo tena Dar lux mbili tena zimezingua.

Najua hii ni Biashara na ina changamoto zake But jamaa gari zao zimekua mbovu sanaaa
Hakuna kampuni ina buses nzuri kama Darlux,
Shida yao ni management , hasa upande wa Maintanance , hapo wamekwama kabisaa, arekebishe hapo.
Ajifunze kwa Kilimanjaro, Abood nk.
Haiwezekani una Marcopolo g7 1200 halafu ati Klm mwenye Marcopolo andare adominate soko
 
Siyo wiring, Mimi nadhani joto la ukanda wa Pwani linasababisha barabara inakuwa hot muda wote na kusababisha mabasi kuwaka moto. Mfano Barabara ya Mbeya Moro kuna maeneo hali ya hewa huwa baridi hiyo husaidia magari ya masafa marefu kupozwa haswa matairi
Nimesuspect wiring sababu najua mchina yupo rough sana linapokuja swala la ubora na spec,

Tahmeed nadhan ndo tajiri pekee Tanzania aliyeagiza zhongtong zikiwa na screen kila nyuma ya seat +usb port , kwa basi zima unasemea Tv zaidi ya 50, @ 24v , kunakuwa na demand kubwa ya current ambazo in return zinazalisha joto

nadhan pia ndo tajiri pekee aliyepata majanga mengi ya moto kwenye basi hizo za zhongtong
 
Saa 2 usiku, Kahama stand, nataka tiketi ya Khm-Dom ya kesho yake ...mabasi mengi nafasi zimejaa ila Dar Lux bado wana nafasi kibao na basi lao zuri limepaki pembeni ya ofisi yao.

Kuuliiza wadau nikaambiwa hiyo kampuni japo mabasi yao yanavutia ila yanasumbua sana. WanaKahama wanaijua na hawaitaki. Nikakaza roho na kukata tiketi yao. Tulisafiri poa bila shida.
 
Na bus nyingi za dar lux zinazosumbua ni zile marcopolo na higer......ila yutong zile ziko vizuri sana barabarani.....kama vipi ahamie tu kwenye yutong moja kwa moja au zhongtong
 
Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimesindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar Lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo zimesababisha mabasi yote kuchelewa kuondoka katika muda muafaka!!

Basi namba moja ambalo ni Higer lilikuwa na tatizo la betri mbovu na basi namba mbili ambalo ni Marcopolo limeshindwa kupanda kilima cha kutokea Stendi ya mabasi ya Nyegezi kiasi cha kufikia kushusha abiria wote!!
Dar Lux wajipange upya la sivyo yatakuwa yale yale kama ya PRINCESS MURO!!View attachment 1282151
Nilikwisha andika siku za nyuma na sihitaji kusimulia tena, ila kweli kama hakuna juhudi za kuokoa, itabaki story kama za SCANDINAVIA.
 
Nimesuspect wiring sababu najua mchina yupo rough sana linapokuja swala la ubora na spec,

Tahmeed nadhan ndo tajiri pekee Tanzania aliyeagiza zhongtong zikiwa na screen kila nyuma ya seat +usb port , kwa basi zima unasemea Tv zaidi ya 50, @ 24v , kunakuwa na demand kubwa ya current ambazo in return zinazalisha joto

nadhan pia ndo tajiri pekee aliyepata majanga mengi ya moto kwenye basi hizo za zhongtong
Hata Shabiby anayo mabasi ya hivyo mbona hayaungui?
 
Back
Top Bottom