Marcopolo wanatengeneza bodi za magari,Ohoo, ebu nitoe tongo tongo mkuu..
Definition ya wasukuma washamba mie naiangaliag kwa baba yangu!ht uwe umesoma vip bado wanaushamba sana...ukitaka kumpiga msukuma rahisi zaidi kuliko wapare!wanaamni watu kwa haraka sana!Hivi mbona mnawaita wasukuma washamba? Kwani ni washamba kweli??
Kazi ya nini sasa bhana. Fanya kazi sana, furahia maisha. Hivyo vitega uchumi si vinataka management pia, unatafuta mkoko wako wa kawaida wa kufanyia kazi na ule wa kukutania na maalwatan wa mji. Niajiri kwenye moja ya miradi yako basi...[emoji39][emoji39]! Gari sio kipaumbele changu .kipaumbele niwe na vitegauchumi vilivyosimama..nikitaka kwenda popote nisianze kukupiga mizinga[emoji4]!
Mmmh, kwa vile nimepata jibu toka kwa msukuma basi sina budi kuamini.Definition ya wasukuma washamba mie naiangaliag kwa baba yangu!ht uwe umesoma vip bado wanaushamba sana...ukitaka kumpiga msukuma rahisi zaidi kuliko wapare!wanaamni watu kwa haraka sana!
Kazi ya nini sasa bhana. Fanya kazi sana, furahia maisha. Hivyo vitega uchumi si vinataka management pia, unatafuta mkoko wako wa kawaida wa kufanyia kazi na ule wa kukutania na maalwatan wa mji. Niajiri kwenye moja ya miradi yako basi...
Gari nzuri, family car kama wewe ni mtu wa familia. Ilà fanya kazi sana na furahia maisha. Mambo ya kuanza kufurahia pesa zako at 75yr ni ushamba.Mie ninapenda Alphard jamani!hahhaa...ah raha zipo tu!
Huyu New force wanamuita muwekezaji maana gari likienda safari likarudi kesho yake haliamki had service zinaenda zingine huy ndo anajua nn anafanyaNadhani newforce Kwa sasa ndo kampuni Bora na yenye usafiri wa uhakika
Gari nzuri, family car kama wewe ni mtu wa familia. Ilà fanya kazi sana na furahia maisha. Mambo ya kuanza kufurahia pesa zako at 75yr ni ushamba.
Haya magari ni mapya.. hayana mwaka, mapya yote