Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Tulikuwa safari 1 . Darlux wanaelekea ukingoni
Juzi Bus Dar lux ya Dar Arusha Asubuhi saa 12:30 wametuweka ofisini kwao mpaka saa 2 asubuhi then wakaja kutuambia gari Bovu haliwezi kwenda, tunawaletea Bus jingine lakini sio Luxury ila tutarudisha some amounts.

Likaja Bus moja Bovu kupata kutokea Dunia, linaitwa Mbazi. Kwakua watu tulikua na haraka tukapanda tu. wakarejesha elfu 7 kutoka kwenye 40,000.

Kufika njiani tukakuta Dar Luxy ya Nairobi imezingua, wako nje. Baada ya kutoka mombo tena Dar lux mbili tena zimezingua.

Najua hii ni Biashara na ina changamoto zake But jamaa gari zao zimekua mbovu sanaaa
 
Mbona hizo gari bado Ni mpya? Alafu zinazingua? Kilimanjaro express Siku hizi ka improve sana mabasi yake yote Marcopolo D number
 
Tulikuwa safari 1 . Darlux wanaelekea ukingoni
Sio la kuwaombea hilo mkuu, nimeangalia hata instagram page yao, kuna malalamiko balaa..room ya kujirekebisha wanayo mkuu

Cha muhimu waachane na mchina , weka engine za scani 94 or 113 .. Maisha saaafi
 
Neno moja kwa konda wa dar lux
FB_IMG_1570119479462.jpeg
 
Kuna yutong inapiga dar kahama Kigali..hapo vp mzee?

Power tools ya hapo Zambia iliwahi kutoboa mpaka kwa madiba kutokea Zambia..hapo vp? Na Huyo ni mchina pia
Hiyo ikifika inafanyiwa service, lakini huyo darlux hafanyi ivo, ye akifika mwz anageuka,

[emoji23]
 
Aiseeee hiyo ndinga nilipanda kama miezi Mitatu nyuma toka Dar - Mbeya kufika Iringa kabla ya ilula ndinga ikafa ebwana eeeeh! Tulikesha nayo tangia hiyo siku nikaacha kabisaaaa kutumia hiyo kampuni
 
Hii kampuni ndio imeshajifia tu.

Kilichobaki ni kupaki mabasi yao yote kwa wakati mmoja.
Mkuu kila kampuni hua inazaliwa, inakua, inazeeka na mwisho inakufa. Na kampuni ikishafikia uzeeni kuelekea kifo hakuna jinsi ya kuinusuru ni kuiacha ijifie tuu nafasi yake itachukuliwa na kampuni nyingine.
 
Hii kampuni ndio imeshajifia tu.

Kilichobaki ni kupaki mabasi yao yote kwa wakati mmoja.
Wana route 5.. Idadi ya mabus yao ilifaa ku oparate route 3 , yawepo mabus ya akiba kupokezana kwa hizo route ndefu

Mabus yanayoingia mapema ubungo hua yanaenda service asubuh yanakiwasha tena, wao wanafika asubuh alafu asubuh hiyo hiyo wanageuka tena , alafu chombo yenyewe mchina, itakufa tu
 
Back
Top Bottom