Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Nimesafiri na darlux kutoka mwanza kwenda dar tarehe 2 Jumatatu tulifika igunga gari likaharibika tukakaa igunga zaidi ya lisaa na nusu, then likawa limerekebishwa tukaondoka, mida ya saa moja na nusu tukaondoka dodoma ile tumevuka nanenane vijiji vya mbele kidog gari ikaanza kuunguruma kama chopa kumbe maji yamevuja yote kwenye radiator ikabidi tupaki pale kusubiri fundi atoke mjini. Baada ya nusu saa fundi kaja akasema gari haiweziendelea na safari so itafutwe njia ingine. Jamaa wakatunyanganya maji ya kunywa abiria wote wakaweka kwenye gari tukarudi mdogo mdogo kuna sheli ya mafuta hayo maeneo tukapaki hapa ndo wakaanza utaratibu wa kufaulisha, saa tano ndo wakapata gari tukaondoka. Dar nikafika saa 12 asubuhi na saa mbili nlitakiwa kuwa ofisini hivo sikulala nlifika na kujiandaa km mjuavyo usafiri wa dar lazima ujipange. Nimeapa sitasafiri na haya mabasi tena.
Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimessindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo zimesababisha mabasi yote kuchelewa kuondoka katika mda muafaka!!
Basi namba moja ambalo ni Higer lilikuwa na tatizo la betri mbovu na basi namba mbili ambalo ni Macoporo limeshindwa kupanda kilima cha kutokea Stendi ya mabasi ya Nyegezi kiasi cha kufikia kushusha abiria wote!!
Dar lux wajipange upya la sivyo yatakuwa yale yale kama ya PRINCESS MURO!!View attachment 1282151
 
Going Concern, Kabisa asee. Hawa jamaa nilipanda gari lao kutoka Bukoba kuja Dsm. Tulipofika Nzega likazingua ikabidi tusimame litengenezwe. Kulikua na abiria mmoja ambaye alikuja nalo siku 4 kabla akatuambia wakati wanakuja gari lilizingua kwa tatizo lilelile ikabidi wasimame litengenezwe. Inavyoonekana hawafanyii service magari yao
 
Moja ya kampuni yenye ma bus proper luxury ni Shabiby. Dar-Dodoma-Dar. Seat tatu kila mstari.
Siku tukiwa na bus za aina hiyo kwenda Nangulukulu, basi, tutakuwa tumepiga hatua kama nchi.
 
Mdomo bakuli,
WASUKUMA mtaacha lini ushamba?
Huko Mwanza yes wanaleta magari mabovu kwakuwa wanajua ninyi mnapanda na mifugo, hamjaoga, wali kwenye malboro etc kwahiyo KAMPUNI IPO IMARA NA INA MAGARI MAZURI KAMA NDEGE KWENDA KILIMANJARO NA ARUSHA.

MAGARI mazuri yanakwenda kilimanjaro na Arusha kwakuwa kule kuna ustarabu sana, na ndio maana JIWE anawachukia wachagaa sana
 
Nilishaachaga kupanda haya mabasi na sitapanda tena ... Mwanzo ilikuwa huduma bora na location ya terminal yako lakini siku hizi hata hapo Shekilango wamekuwa hovyo sana.

As long as kumekuwepo na ongezeko la bus terminal nje ya Stand ya Ubungo, then DAR LUX waendelee tu kunisubiri
 
Labda wameshindwa kuingiza magari mapya.
Very poor business plan.

Poor business plans, nakuna liana nawe, ila basi zao bado no Mpya kabisa

Kwenye transport business Aina ya chombo, Cha kutumia na safari utakazofamya ni vitu vya kwanza kabisa kufikiria, Zina limitatiin nyingi Sana, japo zinakuwa ziro km, mathalan safari ya songea mwanza Tunduma, ukifanya na Gari za kichina tegemea majanga tu labda uwe na bahati sana,

Kinachowaponza watu ni mkataba ya kununua Gari za kichina, unatoa kianzio tu, then a nakupa Gari unarudisha kidogo kidogo kama mkopo, by the time mkopo imeisha basi lishaanza kuzingua
 
t blj,
Kuingiza bus nyingi kwa wakati mmoja na zinazeeka wakati mmoja. Hapo kati hakuna mpya zimekuwa zikiingizwa. Ndiyo poor business plan. Life span ya ma bus husika inajulikana.
Wakati mwingine, vyema kuyauza baadhi kabla hayajachoka Kabisa na eventually unatengeneza succession plan ya ma bus. It needs a lot of planning
 
WASUKUMA mtaacha lini ushamba?
Huko Mwanza yes wanaleta magari mabovu kwakuwa wanajua ninyi mnapanda na mifugo, hamjaoga, wali kwenye malboro etc kwahiyo KAMPUNI IPO IMARA NA INA MAGARI MAZURI KAMA NDEGE KWENDA KILIMANJARO NA ARUSHA.

MAGARI mazuri yanakwenda kilimanjaro na Arusha kwakuwa kule kuna ustarabu sana, na ndio maana JIWE anawachukia wachagaa sana
Hivi mbona mnawaita wasukuma washamba? Kwani ni washamba kweli??
 
Back
Top Bottom