Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,022
Ndio vinapatikana dar,katika hayo magari mazuri/majumba wewe unamiliki mojawapo?
Au unafurahia mali za wanaume?
Smart boy
Ndio vinapatikana dar,katika hayo magari mazuri/majumba wewe unamiliki mojawapo?
Au unafurahia mali za wanaume?
Maisha popote kaishi chooni au kafungue bucha la kitimoto kwa msikiti...
Wakati mwingine maisha ni chaguzi zinazoendan na mazingira lakin si popote...
Kweli aisee kitambo nilistuka wa dar ndio wananipiga mizinga sasa tena wakati huu wamezidisha speed 145
Niliwahi kuishi tabata afu ofisi iko tegeta aisee chamoto nilikipata sana tu,saa 2 asubuhi uwe mzigoni.
eti chamoto nilikipata sana tu
Umejenga hoja nzurii hii nikutokana na uwezo wa kufikilia kwenye drftMaoni yangu
Dar Ni vigumu kujenga nyumba kuliko mkoani
Lakini dar Ni rahisi kupata hela kuliko mikoani
big upNliwahi kuskia eti dar wanauza hadi miguu ya kuku na utumbo wake wakati huku mkoan utumbo na miguu tunamwekea mbwa ale. Iv ni kweli au story tu....km ni kweli basi jibu limeshapatikana dar maisha magum.
Ngumu,kufanikiwa kwa fursa zipi mkuu....usidanganywe na mafanikio ya ujanja ujanja...maana mtu anayeishi dar hata wakijaga mikoani yaani unaona macho juu juu,tunamuambia tuliza mpira chini anza upya hujachelewa
Mkuu mbona andika yako inaonekana una harufu ya shida hadi utosini?
Kuna watu wanalipwa laki na nusu lkn wana maisha bora kuliko anayelipwa milioni tatu.Hahah ila mi naona Dar nzuri kwa biashara kuliko ajira ila uwe umeinvest pesa ndefu. Sio biashara za kuchonga miwa na kuuza pipi.
Kwa ajira ukipata unayokunja at least 2 to 3m kama take home ndio utainjoy life la mjini. Ila kinyume na hapo ni shida tu mzee baba!
hiyo 8,000 mkoani ni hela kubwa/thamani kubwa ukilinganisha na dar,vyakula bei chee,kuhusu usafiri bodadoda na bajaji ni anasa wengi wanatembea...Hivi mkoani hakuna kula kuvaa kuumwa?na mkoani si unaweza kuwa unatumia zaid ya nauli hiyo kwa boda boda au Bajaj?au mkoani kibarua huyo huyo badala ya kulipwa elf 8 atalipwa elf 18?
Haya twende mkoa gani na mitaa gani ukilinganiasha na dar mitaa gani not to forget life style ipihiyo 8,000 mkoani ni hela kubwa/thamani kubwa ukilinganisha na dar,vyakula bei chee,kuhusu usafiri bodadoda na bajaji ni anasa wengi wanatembea...
Ndio nasemea hizo yani, sasa kwa maisha ya mkoani kipato cha 1.5m tu kila mwezi unaishi kibosi mbaya kabisa yani!Hizo ajira za take home 2 au 3m kuzipata mkoani ngumu so lazma ukomae hapa Dar
Huyo mtu atakuwa muhasibu tu ama mtu wa stoo! Kunayo namna hapo!Kuna watu wanalipwa laki na nusu lkn wana maisha bora kuliko anayelipwa milioni tatu.
Hata mimi pia sikumuelewa hapoUnajichanganya
Kipato kikubwa halafu bado maskini??
Umaskini unaupima kwa engo gani??