Dar inawapotezea watu muda

Dar inawapotezea watu muda

Acheni upotoshaji na kuongea kwa kukariri,hivi unazijua systems za hayo maeneo unayoyataja?
huko hakuna ujanja ujanja,wala miundombinu yake sio mibovu kama ya hicho kijiji kikubwa,kule unafika mishe kwa wakati na kazi zinafanywa kwa kupata trainings,tena unaweza hata kufanya kazi mbili sehemu mbili tofauti bila shida,na si kazi zenu za viwandani,unamenyeka nguvu zako afu unalipwa elfu nne kwa siku afu unakuja kutamba hapa kuwa nipo dar napambana,huo ndio ujinga alioukataa mleta uzi,hana chuki na mtu,anajaribu kushare mazuri na tofauti aliyoi`experience baada ya kutoka dar,mtu unapoteza masaa 4 upo barabarani unaenda kibaruani,kibarua kisicho hata na tija zaidi ya kununua tecno na kuja kupost utumbo hapa,kinachozungumzwa na mtoa mada si kwamba mikoani ndio kila mtu kafanikiwa,ila anazungumzia possibility ya mafanikio mkoani ni kubwa kwa mtu mwenye nia ya kusogea mbele kimaisha ukilinganisha na nyie msio na cha maana mnachokifanya hapo zaidi ya kujipa matumaini ya kutoboa kisa magari mazuri yapo Dar,nimesikitishwa kuona kuna watu bado mnapima maendeleo kwa kuangalia majumba na magari bila kujipima maisha yenu binafsi yana unafuu gani kwako na kwa familia yako directly,hao wenye magari mazuri na nyumba nzuri wewe unanufaika nao vipi?ni aibu kwa mwanaume kuwa na fikra mfu kiasi hicho,toa hoja za kujenga mkuu...shame!
Kuna mtu alisema,
*mtu pekee wa kushindana naye ni wewe mwenyewe *
 
Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..

Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.

Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Dar imebadilik San.ni sehemu ,watu wanapig kaz.nakupongez kwa uamuz wak ,kumbuk mjin shule
 
Na huo utafiti wa NBS unaonesha jinsi hali ya mtu wa kawaida ilivyo nzuri Dar kuliko sehemu yoyote Tz.
Labda mi sijaelewa vizuri, kwani mtoa mada ,mi nadhan mada inahusu jinsi dar ilivyo ngumu kupata mafanikio, kuliko mkoani, huo utafiti wa NBS unazungumzia Hali ya maisha ya watu wa dar nilivyo nzuri kuliko mkoani
 
Dar kuna mzunguko mkubwa wa pesa ila matumizi ni makubwa.Mtoa mada kasema ukweli kama unakaa kwenu/kwa ndugu na huna majukumu huwezi kuelewa.
 
Labda mi sijaelewa vizuri, kwani mtoa mada ,mi nadhan mada inahusu jinsi dar ilivyo ngumu kupata mafanikio, kuliko mkoani, huo utafiti wa NBS unazungumzia Hali ya maisha ya watu wa dar nilivyo nzuri kuliko mkoani
Ndio. Huo utafiti umedhihirisha mkoani hali ni ngumu kuliko Dar.
 
Ndio. Huo utafiti umedhihirisha mkoani hali ni ngumu kuliko Dar.
Mi sikatai matokeo ya huo utafiti wa NBS , maisha ya mkoani yanaeza kweli kuwa magumu, lkn mkoani ni rahisi sana kutoka kimaisha kuliko hapo dar , Nina ushahidi wa hilo, Nimezaliwa dar nimesoma na kukulia hapo, miaka mitatu hii ya mwisho ndipo nilipopiga U turn kutafuta fursa mkoani, naujutia sana muda niliopoteza hapo dar
 
Kama hajakuelewa hapo, basi huyo ni zero kabisa
Huko ni kukalili misemo eti maisha ni popote. Labda kama unataka kuishi tu hapo sawa hata juu ya mti unaweza kuishi lakini kama lengo ni kufanikiwa katika maisha unahitaji kuelewa maeneo ya kukusapoti kufanya hivyo yaani uwe selective tena sana. Maisha ya kiumbe chochote kile na existence yake ni dependable sana katika selection za vitu vingi sana ambavyo ndo vitakavyokuongoza, ukishindwa hili inamaana unazidiwa hata na konokono anayejua wapi ni salama kwake kuishi, lini na kwanini.

Mwanadamu chagua eneo sahihi la kuishi na kufanikiwa na si kuishi tu
 
we bado hujiele
Aisee! Kila nikienda mkoa huwa nakuta jamaa zangu tuliokuwa lika moja wapo vile vile wamepauka na vumbi tu, Hana kitu chochote cha maana wengine bado wanakula kwao kabisa.
Wakati me tangu nilipokuja dar nime advance Sana hadi kulekebisha mazingira ya home na kuwahudumia wadogo zangu skonga.
Japo nipo gheto lakini Nina asset nzuri za gheto na mipango ya kuanza Ujenzi mdogo mdogo so dar ni sehemu rahisi kwa utafutaji kuliko eneo lolote hapa TZ.
wi sana, sasa huna kitu zaidi ya kakiwanja tu hapo unaona umetoboa kimaisha?
vip kama hao majamaa zako huko kijiji ni walevi na wavivu unategemea wapate maendeleo kwa njia gani sasa
 
liache liendelee
Mkuuu we ni mshabiki mtazamaji wa mafaniko ya wenzako. Sasa hayo magari na majumba mazur we binafsi unanufaika vip nayo. We binafsi unamirik nn. Au ndo wafurahia kuona hayo magari na majumba ya bakharesa. Think out the box
kushabikia magari ya wenzanke na nyumba za wanaume wenzio, eti anajidai yupo ndani ya jiji,
 
ubarikiwe
Acheni upotoshaji na kuongea kwa kukariri,hivi unazijua systems za hayo maeneo unayoyataja?
huko hakuna ujanja ujanja,wala miundombinu yake sio mibovu kama ya hicho kijiji kikubwa,kule unafika mishe kwa wakati na kazi zinafanywa kwa kupata trainings,tena unaweza hata kufanya kazi mbili sehemu mbili tofauti bila shida,na si kazi zenu za viwandani,unamenyeka nguvu zako afu unalipwa elfu nne kwa siku afu unakuja kutamba hapa kuwa nipo dar napambana,huo ndio ujinga alioukataa mleta uzi,hana chuki na mtu,anajaribu kushare mazuri na tofauti aliyoi`experience baada ya kutoka dar,mtu unapoteza masaa 4 upo barabarani unaenda kibaruani,kibarua kisicho hata na tija zaidi ya kununua tecno na kuja kupost utumbo hapa,kinachozungumzwa na mtoa mada si kwamba mikoani ndio kila mtu kafanikiwa,ila anazungumzia possibility ya mafanikio mkoani ni kubwa kwa mtu mwenye nia ya kusogea mbele kimaisha ukilinganisha na nyie msio na cha maana mnachokifanya hapo zaidi ya kujipa matumaini ya kutoboa kisa magari mazuri yapo Dar,nimesikitishwa kuona kuna watu bado mnapima maendeleo kwa kuangalia majumba na magari bila kujipima maisha yenu binafsi yana unafuu gani kwako na kwa familia yako directly,hao wenye magari mazuri na nyumba nzuri wewe unanufaika nao vipi?ni aibu kwa mwanaume kuwa na fikra mfu kiasi hicho,toa hoja za kujenga mkuu...shame!
huko uliko mkuu, yani hapo dar kuna wajinga sijawahi ona , eti jitu linakuja huku linasema dar kuna magari mazuri na majumba mazuri wakati hapo anapolala kwenyewe ni patupu na mbanano,
unakuta mtu ana simu kubwa kama tv eti ni ya kuingia nayo instagram na wasap kumcheki mange kasema nini, sasa mtu kama huyo utasemaa ana akili kweli
 
Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..

Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.

Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Ndio mjue Dar hakuna ma bush wala ranch ya kuchunga ng'ombe na mbuzi
 
Hakika umesema ya kweli, nilikaa miaka 8 bila bila, kodi, usafiri, chakula, kuamka na kurudi mida mibovu, joto lisilo rafiki na mtu. Ila tangu ning'atuke nashukuru kwamba maisha haya ya sasa ningeishia kuyaona kwa wengine tu! Sitaki kusema nina nini na nini, ila amini kuacha maisha ya Dar na kuamua kuja mkoa, hakuna hata rafiki aliye kubaliana nami, sasa 'gap' halizibiki tena labda awe fisadi tu! Ukweli mchungu, ila watu ambao tuliwaacha mikoani ndo huja mara nyingi kununua magari huku sisi tuliokua wa 'mjini' tunawakwepa. Mwenye macho haambiwi tazama.
hao wanaume suruali wa dar kukuelewa ni ngumu sana
 
Sawa Mzee baba ngoja nikupe mfano mtu anafanya kazi kiwandani bakhresa analipwa elfu 8 kwa siku,,,nauli kwa siku 1000 kwenda na kurudi,chakula amejibana ametumia 2000 kutwa nzima akiwa kazini mpaka hapo kabaki na elfu 5..Home kuna kula pia,kodi,umeme,maji hajaumwa na bado hajavaa
Hivi mkoani hakuna kula kuvaa kuumwa?na mkoani si unaweza kuwa unatumia zaid ya nauli hiyo kwa boda boda au Bajaj?au mkoani kibarua huyo huyo badala ya kulipwa elf 8 atalipwa elf 18?
 
Takwimu hizo zimeangalia nini zaidi?....wakati huku mikoani tunapata fresh air, kuna mipango miji nyumba hazijakaliana, chakula cha kutosha wakati Dar hali ya hewa mbaaya joto Kali ukiwa na chumba huko mitaani mchana huwezi kupumzika, nyumba zimekaliana, foleni za magari na makelele ya honi shida tupu dar hata ukiwa na hela
Hivi Tanga si mkoani ?mbona na kwenyewe kuna Joto kinoma
 
Yes nagari ya thamani Tanzania yapo Dar nyumba za gharama kubwa zipo Dar viwanja vizuri pia na kila kitu kizuri hapa Tz kinapatikana Dar

Ndio vinapatikana dar,katika hayo magari mazuri/majumba wewe unamiliki mojawapo?

Au unafurahia mali za wanaume?
 
*STAMINA alisema

wakuja rudi bush mji unahitaji walio_______ sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini
 
Back
Top Bottom