Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,847
- 7,014
Wote waliohamia mkoani ambao wametoka dar na kurudi mikoani , walijipa muda na malengo ya kuwa baada ya miezi sita au tisa au mwaka mzima nitarudi mkoani. kipindi hicho cha muda walichojipa ndicho walichokuwa wanakusanya pesa na kujichanga za kwenda kuanza nazo maisha mikoani wakati huo wangekuwa huko mkoani wasingekuwanazo hizo pesa.
Dar lazima uishi kwa malengo kila kitu unatumia pesa, akili zako kama huzichangi vizuri DAR utaishia pesa zako kilipia pango la nyumba, umeme, maji, usafiri, kula, kuvaa, na starehe ndogo ndogo.
mimi sirudi mkoani miaka mia nipo dar na nimejenga mkoani, maisha yangu ni Dar mkoani kwenda kutembea tu na kurudi Dar.