manigum27
Member
- Mar 24, 2017
- 57
- 53
Dar Maisha sio magumu ni ww umejipanga namna gani, mm baada ya kumaliza chuo nilipata Ajira Arusha kwa ujumla sikupenda kufanya kazi tofauti na mikoa hii, Morogoro, Pwani na Dar
Kwa kifupi nimekaa mwaka mmoja akili haifanyi kazi Arusha pesa ipo sana shida matumizi pia nayo ni makubwa mwisho wa siku nimeshindwa hata kununua Kiwanja.....
Sasa nipo na mwaka mmoja Dar nimeshanunua Kiwanja na nimeanzisha
Biashara mkoa.....
Na ujenzi upo mbioni hivyo Dar ni sehemu ya kuja kupata fulsa hata ukitoka dar kurudi mkoa jua hiyo ni Faida ya Dar na utaonekana una kipato kikubwa na watu watakuogopa kumbe ni wa Hali ya kawaida.