Dar inawapotezea watu muda

Dar inawapotezea watu muda

Doh naona hata hatuelewani umeng'ang'ania dar tu kuna maisha mazuri, mada haikuwa dar na mkoani wapi kuna maisha mazuri, mada inasema dar na mkoani wapi ni rahisi kufanikiwa kimaisha ,
Typical mindset ya watu wa dar , hatukubali kuonekana tumeshindwa hata kidogo especially unapofanya argument na mtu unayedhani ni wakuja !!!
Naona mada ya chini hapo unampinga kwa nguvu zote mdau aliyesema kuwa dar kuna joto ,
Point
 
Nliwahi kuskia eti dar wanauza hadi miguu ya kuku na utumbo wake wakati huku mkoan utumbo na miguu tunamwekea mbwa ale. Iv ni kweli au story tu....km ni kweli basi jibu limeshapatikana dar maisha magum.
Ndio tena wenyewe hadi wanatengenezea supu eti halafu na maindi ya kuchoma na chumvi eti ndo msosi huo , dah !
 
Halafu wewe wa zamani, kweli hao wenye hayo mashangingi dar wanapiga deal gani kama sio 90 parcent ni wa serikalini tena enz za jakaya...hujatembea muda kweli....halafu mbona kitu kidogo sana umezungumzia....nilidhani angalau mtu ana kiwanja chenye hati ekari 100/huko nyumba 20 kuendelea....
Kwani huyaoni maghorofa yaliyojazana Dar? Unadhani yote yanamilikiwa na serikali?
 
Kuna jamaa mmoja mtaani nilipokuwa nakaa Dar ni mfanya biashara wa nafaka ananunua mikoani na kuleta Dar alikuwa na maisha ya kawaida tu sasa sijui alisanuka vipi akaingia mkoa akatafuta mashamba tukawa hatumuoni km miaka kadhaa hivi kuja kuibuka huko jamaa ana Fuso yake mwenyewe na mazao anatoa shambani kwake na kupeleka Dar
 
Ww unawachukia watu wa dar kutoka moyoni lakin wadar hawana time na ww wamkoan coz ww unajua wanakudharau lakin iyo ni hali uliyojiwekea ww kutokana na watu uliosoma nao shule za boarding na chuo
Dada dar ndio jiji la kwanza Tanzania
Iyo slums ya tandale inasamani sana kuliko iyo nyumba yenu mkoan coz land position iyokuwepo iyo nyumba ni dar karibu na mjin
Umeona zile slump za kipawa zilivyo kuwa mbovu lakin walivyofunja kwa kutanua airport watu walilipwa ela nyingi sana coz ni dar siyo mkoan sasa ww cheka nyumba ya mchikini kariakoo ilivyo kuwa mbovu ngoja auze utaona mpunga anaochukua ndio utajua kuna dar na mikoan
Wewe endelea kuishi kwenye vinyesi halafu ujipe moyo eti iko karibu na mjini so what ? Yani unachoongea wewe ni sawa na kula kinyesi kwenye restraunt , totally illogical

Mi ninachongea ndio uhalisia na nimeishi hapo for ages , so ninajua life styles za watu wa huo mji zaidi ya unavyofikiri , arrogance inawamaliza nyie watu
 
Umenena ila urudi shamba sio mji mwingine . Wanaoshindwa miji yote ya TZ huwa wanaponea Dar . Hapa kuna mipango mingi hata kuuza maji kwa toroli . Ukishindwa Dar nenda tu shamba ! Lima vitunguu saumu kwa wingi na utatoka ili uje Dar na mtaji wako mnene uonyeshwe njia . Unaweza ukamchungulia Barkiressa kwa umbali na atakuvuta mkono
 
Hahah ila mi naona Dar nzuri kwa biashara kuliko ajira ila uwe umeinvest pesa ndefu. Sio biashara za kuchonga miwa na kuuza pipi.
Kwa ajira ukipata unayokunja at least 2 to 3m kama take home ndio utainjoy life la mjini. Ila kinyume na hapo ni shida tu mzee baba!
Umenena point muhimu sana, ndo maana mi huwa nasema 'Dar is a good place for senior employees and giant entrepreneurs'
 
Kama unaamini sehemu yenye huduma za kijamii za kutosha (maisha bora),

Kama unaamini sehemu yenye chanzo cha nishati cha kutosha (mtandao wa umeme),

Kama unaamini sehemu yenye mtandao mkubwa wa miundombinu na

Kama unaamini sehemu yenye watu wengi (soko) inakupotezea muda,

WEWE NDIO UTAKUWA UNANIPOTEZEA MUDA.
 
Mkuuu we ni mshabiki mtazamaji wa mafaniko ya wenzako. Sasa hayo magari na majumba mazur we binafsi unanufaika vip nayo. We binafsi unamirik nn. Au ndo wafurahia kuona hayo magari na majumba ya bakharesa. Think out the box
Bila shaka hesabu zinakupiga chenga. Mdau kaelezea "chance ya occurance" kwa kutumia hesabu za probability.
 
Wapi nimesema mkoani kuna maisha mazuri mkuu?
Nilichosema ni kuwa mkoani ni rahisi kutoka kuliko dar , baas !!! Hakuna sehemu yoyote ambayo nimesema maisha ya dar ni mabaya , Nilichosema ni kuwa najutia muda niliopoteza kuishi dar
Umeamua kunitafrisi unavyotaka wewe na kujenga hoja kutokana na tafsiri yako, Again typical mindset ya sie watu wa dar !
Mzunguko wa pesa mkoani mdogo sana. Kutoka sio leo wala kesho.
 
Back
Top Bottom