nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
- Thread starter
- #461
Hawa watu huku huku mkoani ukiwaambia kuna watu kila mwezi wanaingiza hadi milioni100 na zaid watabisha,halafu kwa formula ya kawaida kabisa,tena elimu ya kawaida tu...sasa niambie dar unapiga deal gani ambayo unaingiza zaidi ya hela hiyo...Ushasema kilimo alafu unauliza biashara gani tena...sasa huyo anayelima kisasa ndani ya miezi sita ana uwezo wa kununua gari au kujenga nyumba na ikaisha...je biashara gan kwa wew apo dar unayoweza kuifanya ndani ya miez sita na ukanunua gari la maana na kuanzisha ujenz. Dar ni sawa na mtu mfupi anaetembea hatua fupi fupi nyingi alafu anakuja kupitwa na mtu mrefu anaetembea hatua moja ambayo ni sawa na mbili au zaid za mtu mfupi