wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,829
Kwahiyo point yako nikuwaasa wana warudi mahome tu basi ?
Rudi nyumbani kumenoga.
Kwahiyo point yako nikuwaasa wana warudi mahome tu basi ?
Hahahahah, kuna uhalisia lakini?Easy tu mkuu, chukua machine yako ya kutengeneza bisi mpe kijana pale ferry anakuletea 15k kwa siku....ongea na taita pale maeneo ya posta omba uweke kijiwe cha shoe shine weka kijana toka Moshi au komaa mwenyewe kwa siku hukosi elfu 20k...sasa jaribu hayo niliyotaja mkoani kama hata utaweza ingiza elfu 5 kwa siku.
Gari zuri lipo arusha wewe,,,dar hakuna magari
Kuna msemo huwa unatumika sana kwenye makasino makubwa makubwa kuwaasa wacheza kamari wao "Winners knows when to stop "Hapo sasa ndipo utakubali kuwa Dar ni kila kitu...sababu umetumia akili za kidaslam kuona fursa mkoani...kwahy usingeishi Dar nakuhakikishia usingeona hizo fursa, akili ya "mwanadaslam" huwaza vitu vikubwa ambavyo kwa wa mkoani anaona haviwezekani. Kwahy point ya msingi hapa hata kama hukupata mafanikio Dar kwa hustle zako, basi Ile exposure uliyopata ukienda itumia sehemu nyingine inaweza kukutoa
Hahahahah, kuna uhalisia lakini?
We hapo Dar uko rank gani mkuu?Ninyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
At least umeliweka vzr mkuu...kwahy bottom line kwanza ni lazima ifike Dar upambane ukiwin umewin ukishindwa, implement fikra za hustle za kiDar mkoani.Kuna msemo huwa unatumika sana kwenye makasino makubwa makubwa kuwaasa wacheza kamari wao "Winners knows when to stop "
Inatumika kuelezea wacheza kamari kuwa ukiliwa sana kwenye game basis ujue na kuacha usilazimishe sana mpaka unafilisika kabisa
Hii ndo philosophy yangu kuhusiana na dar !, yes kuna fursa ..sawa , kuna maisha mazuri na hufuma nzuri kwa karibu kila kitu...sawa , kuna idea nyingi sana hapo ...sawa , lakini si kwa kila mtu, jaribu maisha dar na ku hustle hapo , ikishindikana toka na idea za hapo njoo mkoani ! Implement idea za dar , kunauwezekano makubwa wa kufanikiwa
Hivyo tu basi aisee jamaaa ,Rudi nyumbani kumenoga.
Hahahahah nimecheka kimumbwaa man. Yani kila nikisoma hio sentensi dah! Ni shida!!! Wabongo tunapendaga kupeana ma hope sana ya mafanikio ya muda mfupi! Ha ha ha ha, same story za mayai ya kware mara forex manina. Jana nilikuwa namsikia mtumishi mmoja wa Nabii Bushiri akitoa 1 na 2 jinsi forex ilivyomfanya vibaya. Anadai amekula hasara ya zaidi ya dolla elfu 10 ikiwa hajafanikiwa. Ni kupiga na kupigwa tu. ha ha!!!Hizo ni story tu kuna madogo walimaliza pale ifm wakawa wanapeana story za fursa za kutengeneza bisi kilichowapata wanajua wenyewe tena hesabu yao wao ilikua buku 10 tu kwa siku.
Kama ilivyo Forex au sio!At least umeliweka vzr mkuu...kwahy bottom line kwanza ni lazima ifike Dar upambane ukiwin umewin ukishindwa, implement fikra za hustle za kiDar mkoani.
Ni kweli Dar isn't for everybody!
Huko mtwara napata 15,000 baada ya kupiga mishe gani?Huwezi amini vijana wengi kwa siku wanaingiza kati ya buku 3 hadi 5.ukipata 10,000 siku hiyo ni ya furaha balaa,ama la hiyo buku teni umepiga kazi ya kibabe balaa.Vijana wengi Dar wanapiga kazi ya udalali hiyo ndo wanapata pesa ya bure.Ila kwa kupiga kazi yaani mpka upate teni umechoka haswa.kazi ya kupata 5000 unapewa buku au buku 2.sasa kupata msimbazi ni noma sana kwa Dar na majiji mengine.Ukija kijijini kupata pesa ni kwa msimu.msimu wa mavuno sasa kama huna akiba ya kutosha ni noma.pia kijijini madili ya daiwaka hakuna au ni adimu balaa.ukijiajili pia ni changamoto sana.Enzi za Jk mtu unaweza kumsaidia kazi ndogo sana akakupa hata jero.saiz nani awezaye.?saiz vijana kama Dar na maeneo mengine ya miji akipata buku anawaza kwenda kubeti.mtu anakuwa na mikeka hata mitatu.mmoja unatiki analamba 25000 mingine miwili inachanika.Hivyo ndivyo wanaendesha maisha yao.Maeneo mengi ya mjini vijana saiz kazi yao kubwa ni kubeti.Hakuna ajira wala madili,madili ukipata ni ya jasho na damu.15,000 per day kwa dar na 15,000 per day ya huko katavi/bariadi/mtwara/lindi/ ni mbingu na ardhi,cheki yo' facts again boss.
Mkuu kama umehamishiwa Dodoma kwa mshahara wako ule ule ambapo sasa unatakiwa kuendesha familia mbili (Dodoma na Dar) maana najua huwezi kuhama na mke wako ndani ya mwezi moja na kama ulikuwa na kimradi Dar angalau ka kuingiza kipato cha laki 5 kwa mwezi, ukweli mchungu ni kuwa umepotea na unapoteza muda. Sorry.Kwahiyo tunaoishi Dom tumepotea njia?
Wachache sana,na bado utaona wao ni watumwa wa mambo fulaniEheeeee ya leo kali subir waje walo weza jiji
Nilikua dar na nilikua na mchongo wa maana kabisa,knachoboa ujanja ujanja mwingi sana,most of people are not straightHahahaahah dsm kama hauna mchongo rudi mkoani
Sawa kabisa upo sahihi mkuuHata kama unamchongo huishia kwenye kodi ya nyumba, umeme ,maji,chakura, na usafiri,maisha ya dar hayana hakiba
Halafu ni swala ambalo halipingiki,kati ya kumi kwa dar waliofanikiwa na wana story nzuri ni mmoja maajabu wakizid hapoWengi watakuja kukubeza mtoa mada,ila ukweli wengi walio Dar ni wachumia tumbo,kipato chao chote kinaishia kwenye usafiri,na muda wao mwingi wanaupotezea mabarabarani,hawalali vizuri,wala hakuna sehemu ya kutulia na kuwaza au kupumzika bila bugudha,wengi wanalijua hilo,lkn wakiwaza time waliyoipoteza,wanaona noma kurudisha mpira kwa kipa,bora umewasanua,mimi naamini bado hawajachelewa...hasa kwa wale wenye nia ya kubadilisha maisha yao,maana wengi wao washakata tamaa.
Ngumu,kufanikiwa kwa fursa zipi mkuu....usidanganywe na mafanikio ya ujanja ujanja...maana mtu anayeishi dar hata wakijaga mikoani yaani unaona macho juu juu,tunamuambia tuliza mpira chini anza upya hujachelewaWaulize wenzio waliohamia dodoma wanavyolia Lia. Dar kufanikiwa ni rahisi kuliko kufeli.
Ni kweli asilimia mia kamili!Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Bado una mawazo ya kazamani,hivyo vitu vinakusaidia nini kwenye maisha yako ya kubabaisha...leo wanaowekeza pale city centre na kko angalia vizuri mitaji wameitafuta mkoani ambako unakubeza...nyinyi ndio kazi kusifia mshikaji amenunua gari kali,au kupiga picha magari na nyumba za watu,ukiona mtu wa mkoani anasifia kitu ujue on the progress kununua yakeNinyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale