Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Upo sahihi kabisa. Mwalimu wa shule ya msing dar anayepata level sawa ya mshahara na aliyeko sumbawanga, anazidiwa kwa maendeleo 79% na alteko kijijinn
You make a hell of a Point.Hapo sasa ndipo utakubali kuwa Dar ni kila kitu...sababu umetumia akili za kidaslam kuona fursa mkoani...kwahy usingeishi Dar nakuhakikishia usingeona hizo fursa, akili ya "mwanadaslam" huwaza vitu vikubwa ambavyo kwa wa mkoani anaona haviwezekani. Kwahy point ya msingi hapa hata kama hukupata mafanikio Dar kwa hustle zako, basi Ile exposure uliyopata ukienda itumia sehemu nyingine inaweza kukutoa
Ndoto yako kubwa ni ipi? Na ushaifikia huko mkoani?Ukisoma hiyo post yangu ndio utajua vijana wa dar wameshakata tamaa na hizo ndoto kubwa kubwa.
Hayo ndo maendeleo kwa nyie wa mikoani.Kuna jamaa mmoja mtaani nilipokuwa nakaa Dar ni mfanya biashara wa nafaka ananunua mikoani na kuleta Dar alikuwa na maisha ya kawaida tu sasa sijui alisanuka vipi akaingia mkoa akatafuta mashamba tukawa hatumuoni km miaka kadhaa hivi kuja kuibuka huko jamaa ana Fuso yake mwenyewe na mazao anatoa shambani kwake na kupeleka Dar
Bakisha nafasi ya kujifunza mkuu! , for thirty years niliamini hicho unachokiamini nikiwa hapo town , naamini tofauti sana sasaMzunguko wa pesa mkoani mdogo sana. Kutoka sio leo wala kesho.
Duh!Ninyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
Ndio maendeleo angeng'ang'ania Dar mpaka leo asingekuwa na maendeleo aliyofikia ya kumiliki usafiri wake wa kupeleka mazao mjiniHayo ndo maendeleo kwa nyie wa mikoani.













Mkuu kaama nataka kukuelewa vileeNimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Maneno kuntuWengi watakuja kukubeza mtoa mada,ila ukweli wengi walio Dar ni wachumia tumbo,kipato chao chote kinaishia kwenye usafiri,na muda wao mwingi wanaupotezea mabarabarani,hawalali vizuri,wala hakuna sehemu ya kutulia na kuwaza au kupumzika bila bugudha,wengi wanalijua hilo,lkn wakiwaza time waliyoipoteza,wanaona noma kurudisha mpira kwa kipa,bora umewasanua,mimi naamini bado hawajachelewa...hasa kwa wale wenye nia ya kubadilisha maisha yao,maana wengi wao washakata tamaa.
Hahahaha maakubwa haya jmn eti ni kweli asemayo huyu jamaaGari zuri lipo arusha wewe,,,dar hakuna magari





Yes angalua ww nmekuelewa mkuu haukuegemea sehem yoyote yaaani upo katikati kwamba kila mtu anaalipoamua au chagua kuishi ili afanikiwe sasa ww ukiona dar au mikoani hayo ni maamzi yako binafsi fanya unachoamiini na sio kushinikizwa na mtu..kwa iyo tusichaguliane pa kuishi .Huko ni kukalili misemo eti maisha ni popote. Labda kama unataka kuishi tu hapo sawa hata juu ya mti unaweza kuishi lakini kama lengo ni kufanikiwa katika maisha unahitaji kuelewa maeneo ya kukusapoti kufanya hivyo yaani uwe selective tena sana. Maisha ya kiumbe chochote kile na existence yake ni dependable sana katika selection za vitu vingi sana ambavyo ndo vitakavyokuongoza, ukishindwa hili inamaana unazidiwa hata na konokono anayejua wapi ni salama kwake kuishi, lini na kwanini.
Mwanadamu chagua eneo sahihi la kuishi na kufanikiwa na si kuishi tu
UnajichanganyaBaba yangu Mkubwa Anaish Dar mwaka wa 28 huu ndo msomi zaid na mwenye kipato kikubwa zaid ndan ya familia ila ndo maskn zaid kwenye familia yao.
Sitak kuweka maelezo meng Jitahd hvyo hvyo tu unielewe
Hiyo ya kujenga wala siyo guarantee kuwa utakuwa na maisha mazuri dar, Binafsi nimeacha nyumba tatu hapo mjini , canter tani tatu mbili, zikiwauzia maji wazee wa jiji, pamoja na shamba mpiji magoe , nasema Shamba ili Ku send signals kuwa hapo watu wanapoita kwa wajanja mi nnaeza kuja kulima Dar siku mojaUzi huu umenikata maini, umenifanya niumwe tumbo, umenifanya niwaze miaka kumi iliyopita ningekuwa mkoani ningekuwa wapi. Hata hivyo nimeshajenga, cha msingi sio kuendelea kung'ang'ania kuishi hata kwenye nyumba yangu ni upuuzi. Nilivyohamishiwa dodoma kikazi nimepangisha kamjengo kangu, na sifikirii kukaa maana ndani ya nyumba ni ngarama tupu. Taja chochote kile ni hela, maji ya kunywa, maji ya kuoga, maji ya kupikia, maji ya kufulia, maji ya wsshroom, maji ya chochote kile ni hela. kama umepanga ndio balaa, kama unaishi kwenye nyuba yako, umeme, maji, chakula, uchafu/takataka, kila kitu lazima hela itakutoka.
Huu uzi ungekaa kweny bulletin ..dar es salaam niya kupungua maana ni gharama zisizo za maana.
Ww kaa huko lima tuletee chakula tununue tule fools topWewe endelea kuishi kwenye vinyesi halafu ujipe moyo eti iko karibu na mjini so what ? Yani unachoongea wewe ni sawa na kula kinyesi kwenye restraunt , totally illogical
Mi ninachongea ndio uhalisia na nimeishi hapo for ages , so ninajua life styles za watu wa huo mji zaidi ya unavyofikiri , arrogance inawamaliza nyie watu
Inategemea unapiga mishe gani.Mzunguko wa pesa mkoani mdogo sana. Kutoka sio leo wala kesho.